Search results

  1. abuuh yazeed

    Gari ya Lissu iliyopigwa risasi inaweza kuwa ni kivutio kwa wengi na kumbukumbu nzuri kwa tukio lile la kusikitisha

    Acheni siasa za kijinga. Yaani utalii kwa gari iliyopigwa risas..? Mungu saidia tanzagiza hii...
  2. abuuh yazeed

    Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

    Mkuu pole sana kwa maswahibu yaliyo kukuta. Ngoja nikufafanulie kwa ufupi Vipimo vya HIV for standard diagnosis vipo vikuu viwili. Kuna kinachoitwa(1)SD Bioline hiki hupima HIV ambapo huchukua dakika 5 mpaka 15 kutoa majibu. ( 2) kuna kipimo kingine kinaitwa UNI GOLD hiki pia hufanya kazi...
  3. abuuh yazeed

    Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

    Hahahahahahahaaaaaaaà...!! Uuuwìiii
  4. abuuh yazeed

    Natafuata kazi ya record keeping

    Habar wakuu. Naombeni msaada kuna mdogo wangu binti wa miaka 23 amemaliza chuo cha utumishi tanga. diploma in record keeping and management. Ana vyeti vyote na sifa zote muhimu za kuajiriwa yupo daresalaam. Yupo tayar kufanya kaz mkoa wowote ndani ya tanzania au hata nje ya tz..
  5. abuuh yazeed

    Kuhusu kuhama chuo wale wa nacte diploma.

    Taratibu huwa unaanzia chuo ulicho chaguliwa then wao wana kuandikia barua kwenda nacte huko nacte then wanakubadilishia
  6. abuuh yazeed

    Anaethetist anatafuta kazi

    Any way..!! naona watu mnaleta masikhara wakat ni jambo la ukweli. Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia thus why i do this..!! But nipo serious kwa maelezo ya ziada namba zangu 0712268339
  7. abuuh yazeed

    Anaethetist anatafuta kazi

    Ni rafiki yangu ndio. but naongea kwa niaba yake...!!
  8. abuuh yazeed

    Anaethetist anatafuta kazi

    Hahahahaaa...!! Ni kweli sema mazingira yalikuwa magumu na Niliacha kaz kwa sababu ya maslahi duni. Nipo tayar kupiga kazi mwanza, Dar na Arusha, even hata nje ya nchi
  9. abuuh yazeed

    Anaethetist anatafuta kazi

    Wakuu habar za humu. Kuna rafiki yangu ni anaethetist. Anatafuta kazi vyeti vyoote anavyo. na ana uzoefu wa kazi kwa miaka 3. Mwenye hosptal ya private kwa daresalaam,arusha, au mwanza yupo tayar.!
  10. abuuh yazeed

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa milioni 8

    Nauza kiwanja kwa bei nafuu sana kipo maeneo ya chanika standi daresalaam kina urefu wa nusu hekari. Hakina mgogoro, kina hati miliki zote kipo mjini kabsa namba zangu 0712268339 Karibu tuongee biashara
  11. abuuh yazeed

    Ifahamu Sayari Ambayo kila mtu and Uwezo wa kwenda bila gharama yeyote.

    Haahahahaa mama Faiza bhana Shikamoo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. abuuh yazeed

    Mwenye tv ya flat screen inch 21

    Nishakucheki mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. abuuh yazeed

    Mwenye tv ya flat screen inch 21

    Sent using Jamii Forums mobile app
  14. abuuh yazeed

    Mwenye tv ya flat screen inch 21

    Ok wait Sent using Jamii Forums mobile app
  15. abuuh yazeed

    Mwenye tv ya flat screen inch 21

    Niko Singida, imetumika miezi 8 tu nicheki kwa namba hiyo juu tuongee Post sent using JamiiForums mobile app
  16. abuuh yazeed

    Siri kuu kwa wanaohitaji kuoa au kuolewa

    Nimeipenda sanaa hii, NICE. Post sent using JamiiForums mobile app
  17. abuuh yazeed

    Nipe Tv Chogo + 350,000 nikupe Samsung flat nch 32

    Nilkua naongea na mama watoto line ingine ikajiswitch off nichek now Post sent using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom