Search results

  1. Tympa

    Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

    acha makamanda wasonge mbele!
  2. Tympa

    Ridhiwan Kikwete awashitaki Dr. Slaa, Mtikila

    JAMII FORUMS HII HII. niliwahi kukutana na haya mambo.
  3. Tympa

    CTV - CHADEMA TV: Karibuni hewani

    wakiwa on air unaweza kuwapata hapa = http://www.ustream.tv/channel/chadema-tv-networkhttp://www.ustream.tv/channel/chadema-tv-network
  4. Tympa

    Matokeo ya Kura za Maoni Igunga: CCM - Dr Kafumo, CHADEMA - Mwl Joseph Kashindye

    Pale igunga kuna jamaa yangu alisema kuwa sasa watu wa igunga hawataki kusikia chama kingine zaidi ya chadema.
  5. Tympa

    Tcu unselected applicants

    Toa hiyo red. NDIO JIBU.
  6. Tympa

    Selection ya Mzumbe Undergraduate,Diploma na certificate Hii hapa in form of PDF

    CANDIDATES SELECTED TO JOIN INTO VARIOUS DEGREE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2010/2011 Acha kukurupusha watu hapa.
  7. Tympa

    Mdahalo wa UDA Live on Star TV: Updates

    no comment mpaka nione ripoti ya kamati iliyoundwa.
  8. Tympa

    hivi kesho watanzania wataondokana na giza kweli ?

    SITEGEMEI JIPYA. Mi nasubiri tarehe 30/8(aliyo tuahidi pinda) ifike illi tuanze mipango ya kuandamana nchi nzima.
  9. Tympa

    Tanzania moja bei ya sukari toka Sh. 1,700 hadi 2,500

    Utafuata mgao wa sabuni aina zote. Sii unajua saizi hawazalishi..
  10. Tympa

    TAMKO LA BAVICHA-Siku ya vijana duniani. Heche ailipua UVCCM

    Kuwa creative kuna maana gani?. SII VEMA KILA KITU UTAKACHO KIFANYA HAPA TANZANIA, KIWE KILISHA FANYWA MAHALI PENGINE DUNIANI. UA ndio umeathiliwa kabisa na mfumo wetu wa kusoma kwa kumeza badala ya kuelewa?. It is better for us to support this new IDEA.
  11. Tympa

    Tumbo wa CHADEMA ataka kurithi 'viatu' vya Rostam

    Igunga kimsingi ni ya wana Igunga. Wao ndio wanaofahamu mwana Igunga mwenye kuijua vizuri Igunga, na mwenye Uchungu nayo. Si amini katika kugombea kwa lengo la kupata Ubunge. Naamini Mbunge kuwa mwakilishi wa watu wake. Mimi nimerwawakilisha wananchi wa Karatu kwa miaka kumi na tano. Sasa nina...
  12. Tympa

    Elections 2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

    Mwenye CV ya erasto tumbo atumwagie hapa.
  13. Tympa

    Breaking news:kituo cha mafuta Banana kinataka kuchomwa moto

    SII mda utasikia wananchi wanapambana na FFU kuzuia vituo vya mafuta kuchomwa moto.
  14. Tympa

    Breaking news:kituo cha mafuta Banana kinataka kuchomwa moto

    NA jinsi serikali ambavyo haina think-tank wazuri, utasikia wamepeleka FFU kupambana na wananchi(ningependa hii itokee alafu tuone).
  15. Tympa

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Hawa watu wa mafuta ndio wanao run NEW WORLD ORDER CONSPIRACY. kwa maana hiyo serikari ikifanya ujinga hapa, ndio unaweza ukawa mwanzo wa anguko kuu la serikali.
  16. Tympa

    Safari ya 315: Rais Kikwete kuelekea Namibia?

    Kuna watu wanasema ikitokea huyu vasco da gama akafa before 2015, watashangilia badala ya kuhudhunika.
  17. Tympa

    Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    Huyu dogo anaandaliwa kugombea uraisi 2025. yuko kwenye kundi la akina EL.
  18. Tympa

    Siku ya 'kifo cha CCM' wewe utafanya nini kwa furaha?

    Mimi kwa mala ya kwanza ndio NITAPANDISHA BENDERA YA TAIFA FULL MLINGOTI. kwani mpaka sasa siamini kama tulishapandisha bendera yetu.
  19. Tympa

    Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

    NI wazi kwamba mule ndani kila mbunge ni bora kuliko wenzake kutokana na jinsi alivyo.
  20. Tympa

    Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

    sasa ni 22:35. TUNA;OMBA DATA JAMANI!!!...
Back
Top Bottom