Search results

  1. Rais wa Wasukuma

    Viwanja Viwanja vinauzwa - Dodoma

    Wakuu habari za muda huu, Tangazo hapo juu linajieleza. Viwanja vimebaki vitano. Viko Mkoa wa Dodoma maeneo ya Miyuji karibu na hospital ya St. Gema. Size ya kiwanja ni 30mx40m bei ni 5m. Umeme na maji vipo jirani sana i.e less than 150m. Usafiri wa Daladala upo, huduma zote za kijamii zipo...
  2. Rais wa Wasukuma

    Mke wangu kanifokea sana

    Wasalaam wanajukwaa mimi ni mgeni humu Jf. Naomeni ushauri mke wangu alisafir kikaz akamuacha beki tatu nyumbani. Siku moja nikampa taulo langu anisaidie kulifua mimi niko bze na mambo ya kikaz narud usiku. Siku wife anarud akamkuta bek tatu anafua taulo langu niliporud kutoka job wife...
Back
Top Bottom