Search results

  1. M

    Polisi wa Babati wachunguzwe

    Polisi wa Tochi Barabarani wanajificha nje ya eneo la 50 halafu unazuiwa mbele eneo ambalo huwezi kurudi kwa mtu wa tochi, unalazimishwa kulipa faini na hakuna jinsi ya kuprove hiyo speed... Huu ni ufisadi mwingine mbaya sana, nimelelemika maana ni mara kama ya nne sasa tukio hili likinitokea...
  2. M

    Tumejiandaaje kwa majanga tunayoyatengeneza wenyewe?

    Swali la Muhimu kwetu. Miaka zaidi ya 50 ya Uhuru.. Tanzania kama kuzima moto kwenye ghorofa moja tu ya PPF tower imetushinda kuifanya kwa wakati muafaka? je? Tunawezapambanaje yakitokea matatizo makubwa kama Tsunami, Katrina, Au iwapo watu wa Mtwara wataamua kulilipua bomba la gesi...
  3. M

    Mwitikio wa kutisha mgombea wa CHADEMA alipotangaza nia Arumeru Mashariki

    Ndg wana JF, tar11/02/2012 siku ya jumamosi nilifanikiwa kuhudhuria hafla fupi pale Kibo Palace Hotel Arusha, wakati Kijana Machachari wa Chadema Arumeru Mashariki Kamanda na mpambanaji Joshua Nassary alipotangaza nia yake ya kuomba kuteuliwa na Chama chake cha Chadema aweze kupeperusha bendera...
  4. M

    Mahakama ya Kenya V/S Serikali

    Nafikiri inafaa ifikie mahali mahakama yetu ya Tanzania kuwa na uwezo wa kutofautiana na Serikali sehemu zingine hasa kwa yale mambo ya msingi Kitaifa na Kimataifa, Mahakama zetu ziige msimamo wa Mahakama ya Kenya kuhusu amri ya ICC kumkamata Al Bashir, siungi sana mkono au kutounga mkono...
  5. M

    Tuhuma za kuuawa Dr Mwakyembe na Mawaziri wenzake vp?

    Baadhi yetu tulisoma na kuisikia ripoti ya Dr Mwakyembe kuwa kundi la Al-shabab toka Somalia likishirikiana na Wahalifu sugu wa hapa kwetu Tanzania, limekodiwa na baadhi ya wanasiasa kwa ajili ya kuwaua baadhi ya viongozi hapa nchini kama Dr Slaa, Prof Mwandosya, Anne Kilango, Bernad Membe na...
  6. M

    Tuhuma za Mengi kwa jeshi la Polisi zilizimwaje?

    Nashanga wana JF na waTanzania tuhuma kubwa kwa jeshi la Polisi na maafisa wake waandamizi zilizotolewa na Reginald Mengi kuwa Polisi kwa kushirikiana na wafanyabiashara wa Kiasia waliandaa mpango wa kumbambikia Mwanae madawa ya kulevya Airport, na akawataja kwa majina akasema kama wanapinga...
Back
Top Bottom