Search results

  1. S

    Mashudu ya alizeti kutoka Kiteto, Manyara

    Habari Tunauza mashudu ya alizeti kwa ODA ya siku nne kabla Kg1 bei ni Tsh 275/= Karibuni
  2. S

    Nauza mashudu ya alizeti

    Habari wana Jf.. Kwa anyehitaji mashudu ya alizeti yanapatikana kw mkulima mimi.. Ninauza kwa Kilo Kwa atakaehitaji tuwasliane kwa namba 0738-357-205 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    TZ KUWAPA KENYA MADAKTARI only in EAST AFRICA

    African countries bana, waeza lala usingiz wa miaka 30 ukiwawaza viongoz wa Afrika Labda tuanze kwenye uhaba wa madaktar kenya unatokana na nn? Jibu: Mgomo Sasa how comes wasitatue huo mgomo na madaktar wao?, Kwann wafanye replacement? Tena sio ndan ya nchi bali kwa kuimport watu wengine...
  4. S

    Makameraman wa enzi hizo

    Makamera man walikuwa majeuri kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii Kamera ina likamba fulani jeusi inaning'inizwa shingoni..... Kameraman ana kabaskeli kake hapa... nyuma kana begi lina picha za watu ambao hawajamaliza madeni. Kamera man anakupiga picha leo anakwambia picha yako utaipata panapo...
Back
Top Bottom