Search results

  1. B

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    huyu mtoa mada labda bwabwa,,,,rijali inakuwaje unaanza mambo ya masturbation,,,huuu ni upuuzi,,,,mada zingine huwa zina[potea njia au?
  2. B

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Hayo yote waliyoongea wakubwa hapo juu yamenifurahisha na kunikumbusha mbaali sana,,,,nakumbuka mwaka 1993(operation miezi sita) mie na rafiki yangu aitwae gwakisa tulianza safari tokea mbeya kwenda arusha kambi ya oljoro,,,tulifika njia panda ya oljoro hiyosehemu inaitwa mbauda, mie na jamaa...
  3. B

    Siri yafichuka: Membe& Mwakyembe wamuondoa H. Masoud

    huyu jamaaa ameoanisha mambo yasiyokuwepo kabisa,,,,meli mbovu imenunuliwa na wazanzibar wenyewe,,meli imezama yanaingizwa mambo yasiyohusika na kushutumu watu wengine,,,kweli inafaa ajipange na aongee hoja za msingi siyo malalamiko na shutuma dhidi ya watu wengine bila hata chembe ya...
Back
Top Bottom