Search results

  1. mahutu

    Je, Lowassa ndio msemaji mkuu wa CHADEMA?

    Habari zenu wa ndugu, kama kichwa cha habari kinavosomeka. Iko hivi nimesoma habari ya mahojiano ya Lowasa alipokua Kenya juzi kati na nimeshtuka sana katika mahojiano yake yalikua mazuri na alivojibu amejitahidi kutumia maneno ya staha ila shida nimeipata pale aliposema kuwa CHADEMA inamuunga...
  2. mahutu

    Afisa Utumishi wilaya ya Tarime atumbuliwa

    Habari za hivi punde... Afisa Utumishi wilayani Tarime ametumbuliwa na Mkurugenzi wa wilaya hiyo leo saa nne asubuhi, sababu zilizo pelekea kutumbuliwa kwa kiongozi huyo ni kuchelewesha kwa makusudi majina ya watumishi wanaotakiwa kupandishwa madaraja na majina ya watumishi halali ili waweze...
  3. mahutu

    Hii ni kweli

    Tajiri mkubwa Africa..Dangote...ameshusha semi 651 pale mtwara kwa siku moja gharama yake nikubwa sana kwa kila semi moja.....sasa ikitokea wewe ukaambiwa uzinunue hizo semi zote kwa gharama ya TSh 15000 leo hii...nina imani wengi hatutaweza nunua hizo semi....na hata leo hii ikitokea ofa ya...
  4. mahutu

    Maisha bila sayansi ni sawa na binadamu bila damu

    Dunia ya sasa iko tofauti sana kila kitu kinategemea sayansi...yaani ukweli usiofichika ni kwamba ukiondoa sayansi hamna uhai tena...sayansi ndo kila kitu kwa maisha ya sasa...na ndo maana serikali imeamua kutoa kipau mbele kwa walimu walio soma sayansi...ingawa haiko sawa hii...ila kiukweli...
  5. mahutu

    Ushauri kwa akina dada ambao hamjaolewa

    Kuolewa ni jambo jema sana ktk maisha....ila sasa waoaji ni tatizo.... Hata upike chakula kwa kutumia masufulia ya dhahabu...ufanye mapenzi staili zote kama hupendwi huwezi kuolewa na huyo unaemfanyia hivo vitu....chunguzeni sana kama unatumika au unaandaliwa kuwa mke...wanaume hatueleweki...
  6. mahutu

    Kama ni kweli nasi huu utakuwa ni uthibitisho

    Habari zenu wapendwa wapendwa....natumaini mkopoa nyote na poleni kwanza na mihangaiko ya hali hii tuionayo ya maisha ya kila siku.. Kila mtu anajua maisha yanavo muendea hivo huwezi sema moja kwa moja maana kila mtu ana kamba yake wengine ndefu, wengine fupi ila bado tunasonga..kama tittle...
  7. mahutu

    Utaifa kwanza

    Habari zenu wana wa Tanzania, natumai muwazima na kila mtu akijibidisha ili afikie malengo yake aliyojiwekea. Zamani kabila na koo mbalimbali zikiwemo nchi nyingi historia inaonyesha walifanya maamuzi magumu pindi ilipobidi, mfano pindi njaa ilipo wakumba, ukame, vifo vya kutisha, mafuriko na...
  8. mahutu

    Nini chanzo cha ubinafsi?

    Natumai humu ndani muwazima na majukumu yanaendelea kama kawaida ingawa hali ni tete ila tutaishi tu. Leo ninakuja kwenu tujadili kwa pamoja jambo hili ambalo ni chanzo cha maisha magumu katika maeneo mengi duniani. Ubinafsi ni miongoni mwa vitu vinavyosababisha migogoro mingi, mfano hapa...
  9. mahutu

    Tanzania yangu...

    Nimekua nikijiuliza sana kuhusu nchi yangu hii tukuku na cjaelewa kwanin viongoz wetu wanakwama kiongozi.. Je? Ikitokea wewe ukawa mkuu wa nchi hii ya Tanzania iliyojaliwa kila aina ya mali asili...utafanya nini ili ukubalike kwa watanzania wote...
  10. mahutu

    Kila kitu kina faida na hasara

    Tangia uchaguzi mkuu wa mwaka jana umalizike nimekua nikiskia kila siku mitandaoni hata pia katka vijiwe mbalimbal kua hali ni ngumu nami nakubaliana ingawa sio kwa asilimia kubwa...huku kwetu kama vile kila week naona zaidi ya magari mapya zaidi ya manne(4) yakiingia mtaani..na waki huohuo...
Back
Top Bottom