Search results

  1. sisame

    Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa; ushauri wa kitalaam, changamoto, mawazo na masoko

    Salaam wakuu✋🏽 Naomba ushauri juu ya ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa kwa muongozo ufuatao; (though not limited to that) 1. Aina gani ya Ng'ombe wa maziwa inatoa maziwa mengi? Kwa maeneo ya joto joto kama pwani na Morogoro. 2. Naweza kuotesha nyasi aina gani kwa ajili ya malisho? Aina zipi...
  2. sisame

    Soko la mbogamboga Dodoma

    Wandugu salaam! Naomba kujuzwa hali ya soko la mboga mboga Dodoma ukilinganisha na Morogoro. Nataka nianze kuchukua mbogamboga Morogoro nipeleke Dodoma. Nijuzeni jamani upepo uko vipi huko! Naomba kuwasilisha
  3. sisame

    Why we must focus on Rain water harvesting?

    Imekaa njema sana ila gharama nahisi itakuwa juu sana kwa mtanzania wa kawaida (mkulims mdogo) kuweza kumudu
  4. sisame

    Natafuta mteja wa kuku chotara Sasso

    Wanajamvi salamu! Mimi ni mfugaji mdogo, nipo Morogoro. Naanza kwa kumtambulisha Sasso kwa ufupi; Sasso ni kuku chotara wa nyama asili yake ufaransa, na hutokana na jamii ya broiler. Ni kuku anaejaza nyama sana. Najipanga kuzalisha Sasso kati ya 200 na 300 kila mwezi, wakiwa na umri wa miezi...
  5. sisame

    Nauza mayai ya Sasso (kuku chotara)

    Salamu wandugu! Nauza mayai ya Sasso (Kuku chotara) trei 12,000/= , yanafaa kwa kutotolesha na pia kwa kula. Napatikana Morogoro mjini, Kihonda maghorofani!! Karibuni niwahudumie, popote nakufikia! Mawasiliano 0655454699
  6. sisame

    Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

    Haaaah haaaaah mbavu zangu mie!
  7. sisame

    Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

    Hii ingeleta matumaini kwamba jamaa anawaza kumpa zawadi ya gari!
  8. sisame

    Mifuko ya kuhifadhia nafaka zisioze inapatikana wapi Dar?

    Ndio mnanifungua masikio mwenzenu
  9. sisame

    Sex toys, biashara inayoshamiri kwa kasi

    Hapa napita kimya tu o_Oo_Oo_O
  10. sisame

    Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

    Mkuu mimi nina hofu ya Mungu hata kabla ya hizo ajali, labda niseme nimezidi kumpenda sanaaaa sanaaaa maana nimejua kuwa anapigana na wanaopigana nami usiku na mchana.
  11. sisame

    Siri iliyojificha kwenye nazi, muhogo na karanga mbichi

    Imebidi tu nicheke kwa sauti....ati njemba ndio inabanduliwa na manzi.....haaaaah haaaaah....lol
  12. sisame

    Sector ya nyumba za kupanga imekumbwa na mtikisiko mkubwa sana, hali mbaya

    Magu akaze uzi zaidi ya hapo.....walizidi dharau...mpyuuuuuuuuu
  13. sisame

    Mwanamke ajikuta sehemu zake za siri hazipo baada ya kumuibia mwanaume aliyelala naye Bukoba

    Mkuu umenivunja mbavu sanaaa.....khaaaa eti kashaboaaa, dada wa watu angebakije bila kitumbua chake.....haaaah haaaaah....aisee ngosha ametisha sana
  14. sisame

    Mwanamke ajikuta sehemu zake za siri hazipo baada ya kumuibia mwanaume aliyelala naye Bukoba

    Haaaah haaaaah akina ngosha jamani sio wa sport sport!! Nimecheka sana yaani!!!
  15. sisame

    Jeshi la Magereza katika gereza la mahabusu Keko, limefanikwa kukamata simu 5 za kisasa (smartphone)

    Sio bure hao......tena wanausalama wamchunguze kwa kutumia intelligence ya hali ya juu, tisha sana hao mkuu!
  16. sisame

    Vidonda vya koo vinanitesa

    Pole sana mkuu, Mungu akuponye, kama ni mkristu nakushauri uwe unafanya na maombi pia wakati mwingine shetani huwa anachezea afya zetu.
  17. sisame

    Vidonda vya koo vinanitesa

    Mbona unamshambulia sana, una uhakika gani kama tatizo hilo linatokana na kuzama chumvini? Tujifunze ustaarabu jamani, hebu imagine ndio wewe unaomba ushauri halafu ndio unashambuliwa namna hii, would you be happy?. Halafu jifunze kuandika maneno ya Kiingereza vizuri kama hujui ni vizuri...
  18. sisame

    Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

    Mimi leo nipo hai ni Mungu tu amependa niwepo hai, nimenusurika katika ajali mara mbili ndani ya mwaka mmoja. Ajali ya kwanza ya pkpk ya pili gari yangu aina ya Noah mpka leo gari iko juu ya mawe but mimi natembea nikiwa mzima na viungo vyangu vyote, isipokua nina makovu mawili matatu. Hakika...
  19. sisame

    Mtanzania afungwa jela London kwa kosa la kupost maiti facebook

    Safi sana tunapaswa kufunzwa adabu kwa nguvu
Back
Top Bottom