Search results

  1. zee Don

    Hivi thamani ya pembe za ndovu ,meno ya tembo na madawa ya kulevya uwa nani anapanga bei??

    Habarini wadau Naombeni kuuliza hivi thamani ya hivi vitu huwa nani anapanga Bei au huwa wanatoa Bei wapi au huwa serikali huwa na wao ni wauzaji?? Maana naona Siro huwa anasema tumekamata majangili yakiwa na pembe za ndovu zenye thamani ya milion 20 au cocaine kg 4 yenye thamani ya 10m ...
Back
Top Bottom