Search results

  1. Nico1

    Wewe Makonda, uadilifu umeanza lini? Makontena yako 20 ulikwepa kodi ya sh. 1.2 bilioni. Acha kuhadaa wananchi

    Yaani unaamini kabisa makonda kama Makonda anaweza anaweza kufuta ujinga ambao umekaa kimuundo hapa kinachohitajika ni mabadiliko ya system nzima maana ipo siku makonda ataondoka huoni tutarudi kule kule
  2. Nico1

    Kuna Ukweli gani juu ya mafuta na maji ya upako?

    Haya mambo yataendelea kuwepo tena yatazidi maana wapumbavu na wajinga wanazidi kuongeka pia ndiyo wanatoa vibali na ridhaa kwa hawa matapeli kuzidi kutamalaki
  3. Nico1

    Cable ya kutoka katika IP board kwenda katika scan board pana pamoja na cable ya kutoka scan board kwenda ADF ya IR 2520 machine inahitajika

    Nawasalimu nyote kila mmoja kwa nafasi yake , kama nilivyoeleza hapo juu , kwa yeyote anaweza kupata hizo cable za photocopy machine IR 2520 -cable ya kutoka kwenye IP board kenda katika scan board pana na cable ya kutoka scan board kwenda ADF. Nipo Dar maeneo ya posta -0753390827
  4. Nico1

    Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Mkuu ngoja nifanyie kazi ushauri wako, nilichelewa kuona sababu ya ubovu network nitarudi kukupa feedback
  5. Nico1

    Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    The master nilijaribu kufungua pc yangu ambayo ni hp folio 1020 ili nianze kufanya kama kama ambavyo wewe pamoja na wadau wengine mlivyosauri lakini sasa nilishindwa maana hdd yake ilinichanganya kidogo ni kama inavyoonekana kwenye picha , hata cable nilishindwa kununua
  6. Nico1

    Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Haina shida Diwani Tajiri kuhusu hilo, kupitia hayo maelezo naamini wengi watasaidika
  7. Nico1

    Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Hapana shaka nimepata idea The master .Asante kwa muda wako
  8. Nico1

    Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Mkuu asante sana, hapa sasa nimepata idea maana ulichokiandika hakitofautiani sana na mdau mmoja naye kasema hivyo hivyo ngoja nikafanyie kazi .
  9. Nico1

    Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Nashukuru kwa maelezo yako nimeelewa vizuri naswali dogo mimi computer yangu hard disk yake ni ssd nikifuata hatua hizo ulizoorodhesha hapo itafanya kazi .....
  10. Nico1

    Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Hapa sasa naweza pata maelezo anagalau kwa kifupi namna ya kuconvert kwenda gpt
  11. Nico1

    Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Ninapojaribu kufanya partition napewa huo ujumbe '' we couldn't create a new partition (Error :0x800745df)
  12. Nico1

    Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    nimefanya lakini imeniandikia hivi '' we couldn't create a new partition (Error :0x800745df)
  13. Nico1

    Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Mkuu wangu samahani niliamkia kwenye michakato ya maisha
  14. Nico1

    Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Heshima kwenu nyote wana jukwaa, naomba kufahamu hili tatizo kwenye picha hapo chini kama linavyoonekana kwenye picha linasababishwa na nini na jinsi ya kulitatua. Naomba kuwasilisha kwa yeyote ambaye anaufahamu wa hili tatizo
  15. Nico1

    Jielimishe mwenyewe, waelimishe wengine. #Agenda ya Kifo. Bill Gates sio mwenzetu Chanjo ya COVID-19 ni Mwanzo tu

    Suluhisho atalipata wapi wakati huo yeye katafsiri andiko la mtu kutoka lugha ya kizungu (THE VIGILANT CITIZEN)
  16. Nico1

    Usabato mgumu, lesoni za kupitia kila siku zimenishinda kwakweli

    Mutuwache kwani tumewafanya nini sisi. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Nico1

    The novo coronavirus: Could it have been genetically engineered for the Chinese race as a bio-weapon?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Nico1

    Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

    Tokea juzi kuna mtu kamuandama Mwaposa na mafundisho yake leo yametimia Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom