Search results

  1. M

    Riwaya: UCHU

    msijali nitatupia nikipata wasaa
  2. M

    Riwaya: UCHU

    UCHU KASHESHE XIII Huyu Willy Gamba lazima atakuwa kaingia hapa, hatujui kapita njia ipi na yuko sehemu gani?", Nkubana alimwambia Col. Gatabazi kwa njia ya radio. "Haiwezekani, hakikisha kwanza", Col. Gatabazi alijibu kwa hofu. "Hakika ni yeye Willy Gamba, tumekuta sehemu imechimbwa...
  3. M

    Riwaya: UCHU

    wakuu riwaya ni tamu na hapo ni nibado sana ladha ipo mbele ya safari kuweni wapole
  4. M

    Riwaya: UCHU

    UCHU XII "Saa ngapi sasa?" Bibiane alimwuliza Willy Gamba. "Imefika saa sita na nusu sasa", Willy aliMjibu. Walikuwa tayari wana saa moja ndani ya kambi hii ya kijeshi na bado walikuwa hawajapata tatizo lolote. Sasa ndio walikuwa wanaanza kutega mabomu kwenye bweni la mwisho ili baada...
  5. M

    Riwaya: UCHU

    UCHU KASHESHE XI Nkubana aliamua kuwasiliana na Col. Gatabazi kwa simu ya upepo. Alipompata alikuwa tayari amewasili Goma na walikuwa wameanza mkutano. Nkubana alieleza kwa kirefu yote yaliyotokea na kisha akashauri. "Huyu Willy Gamba hajui nguvu zetu. Hivyo, ameamua kwenda kujinyonga...
  6. M

    Riwaya: UCHU

    UCHU KASHESHE VI Ilikuwa saa nne na nusu usiku, wakati Jean na kundi lake walipoondoka Kibumba kuelekea Goma. "Hakika nimeridhika na ari ya wanajeshi wetu na uwezo mkubwa wa vikosi vyetu, pia nimefurahishwa sana na aina ya silaha tulizonazo, hii inaonyesha ni jinsi gani tumedhamilia...
  7. M

    Riwaya: UCHU

    samahani kudikudi nimekusaidia kidogo
  8. M

    Riwaya: UCHU

    UCHU GISENYI VIII Willy Gamba na Bibiane walisafiri salama kutoka Kigali mpaka Gisenyi bila kukutana na kituko cha aina yoyote Barabarani. Lile gari lenye alama ya Msalaba Mwekundu liliwafanya wasafiri bila kupata usumbufu na habari zilikuwa zimetumwa mapema na wale askari watatu...
  9. M

    Riwaya: UCHU

    GISENYI VI Baada ya kupata habari hizi walikubaliana kuitisha mkutano wa dharura mnamo saa sita na nusu mchana. Rais alipiga simu tena kwa Jenerali Bunyenyezi na kumwambia afike ofisini kwake haraka akiwa pamoja na kiongozi wa upinzani wa Zaire, aliyekuwa akiunganisha vyama vyote vya...
  10. M

    Riwaya: UCHU

    UCHU GISENYI Ilikuwa yapata saa kumi na mbili alfajiri wakati Willy Gamba na Bibiane walipokuwa wakiondoka nyumbani kwa Bibiane kuelekea Goma, nchini Zaire. Baada ya Bibiane kwenda kulala usiku na kumwacha Willy akimpa habari Col. Rwivanga kuhusu yote aliyoelezwa na Bibiane, usiku...
  11. M

    Riwaya: Barua Kutoka Jela

    tunakusubiri mkuu unatuweka njia panda
  12. M

    Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Da mkuu kama move vile
  13. M

    Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Tupe vitu casuist bana
  14. M

    Majambazi yavamia duka la kubadilishia pesa Arusha, waua mtu aliyepiga kelele

    du kama somalia mungu msamehe dhambi zake
  15. M

    natafuta mchumba

    me ni kijana natafuta mchumba awe na umbo la wastani kikalio cha wastani me ni mwajiriwa serikalini aliye tayari ani pm
  16. M

    Mlipuko Arusha: Watu 8 wakamatwa, wamo raia wanne wa Saudi Arabia

    mpaka ss kuna watu 10 washakamatwa ikiwemo raia 4 wa saudi arabia walio kamatwa namanga wakielekea nairobi kupanda ndege
  17. M

    MSAADA PLEASE Kila nimalizapo ku sex mgongo unauma.

    ] hapo ni maandalizi ya nguvu kupungua
Back
Top Bottom