Search results

  1. donaldson don

    Korea Kaskazini: Vyombo vya Habari vyaalikwa kushuhudia kuharibiwa kwa maeneo ya kujaribia makombora ya nyuklia

    Kwisha habari yake mkorea wamarekani ndio walivo washamteka kiakili tayari... Mambo ya propaganda za kivita
  2. donaldson don

    Leo tujuane mikoa inayoongoza kwa watu wafupi

    Hata Mwanza nao wafupi
  3. donaldson don

    Kwenu vijana mnaokula na kulala kwenu

    Mkuu huyo mgeni aliekuja kwako kumbe na yeye amejiunga JamiiForum
  4. donaldson don

    Kuna tofauti gani kati ya msukuma na mnyamwezi?

    Wanyamwezi wanapenda dezo alafu vijana wao wengi sana wanapenda kuchezesha Kamali zile za wizi
  5. donaldson don

    Story: Kwanini Upo Single?!

    Mimi Niko Single sababu wanawake wa Siku hizi hamna uaminifu
  6. donaldson don

    Napenda kufahamu uhusiano uliopo kati ya Mnyamwezi na Mtusi ndani ya Tabora

    Duuuh kudadeki kumbe eeee ndioo maana nyie watu wa kanda ya Ziwa akili zenu na Matendo yenu zinaendana na wale Jamaa... Leo sasa ndioo nimejua kama mnaoleana na mnaishi nao na wanaoa kwenu tokea enzi za ukoloni kumbe nyie wakiii......! Samahani ila nawapenda lazima nifunge safari toka Dar...
  7. donaldson don

    Kijana wa kazi aliemaliza form 4 au 6

    Unatafuta wa kubet nini
  8. donaldson don

    Mpumzisheni Mpendwa Rais wetu Dr. Magufuli na ratiba zenu kwani mnamchosha sana

    Mkuu yule kwao usukumani kazi anazozifanya zinafanya na mtu ambae anaumwa siku hiyo asiende shamba maana kwao wanafanya kazi ngumu hatari... So kuhusu hilo mkuu usiwaze kabisa alafu kwa WASUKUMA wanaamini mtu usipofanya kazi unachoka haraka kimwili ndio maana unaweza kuta mzee wa kisukuma...
  9. donaldson don

    Mastaa ndani ya JF

    Watu mnaotoroka fb mna taabu nyie
  10. donaldson don

    Mastaa ndani ya JF

    Kaoge kwanza humu tunajadili hakuna mastaa nenda Sinza,kinondoni huko usitusumbue humu
  11. donaldson don

    Wana jf mbona hamnijali jamani..

    Ungekuwa na vigezo vichache kidogo hapo sawa
  12. donaldson don

    Wana jf mbona hamnijali jamani..

    Hapana aisee wewe mwenye makabrasha mengi ivo utasumbua kampuni aisee
  13. donaldson don

    Natangaza rasmi kuitambua PhD ya Rais Magufuli kama "PhD ya kipekee"

    Kwaiyo nawewe unajipigia upatu sio ili ukatiwe keki umezunguka weeee kumbe Target yko unayo
Back
Top Bottom