Search results

  1. makorere

    Happy woman day

    HAPPY WOMEN'S DAY!!! Hongereni Sana Wanawake wote mliopo kwenye ukurasa huu. Ninyi ni wanawake wa nguvu na wa thamani sana mbele za Mungu na wanadamu. Tunawatakia mafanikio mema kwa kila hatua ya maisha yenu.Msirudi nyuma endeleeni kupambana.Tupo pamoja na nyinyi siku zote.Tunawapenda sana.
  2. makorere

    Kiwanja kinauzwa Sqm 6000 ununio

    Kiwanja kinauzwa kipo ununio mainload ya Ununio bei 600milion mazungumzo yapo contact 0756249110 0711494263
  3. makorere

    Nyumba ya ghorofa inauzwa

    Nyumba inauza ipo mbezi juu Main load ya goba ukitoka masana inaeneo la sqm 10000 bei dola laki 7 mazungumzo yapo .0756249110/0715249110
  4. makorere

    Kiwanja kinauzwa Mbezi juu sqm 4530

    Kiwanja kinauza ukubwa sqm 4530 kipo maenoo ya mnara wa vodacom Mbezi Juu meta 30 kutoka Barbara ya lami inayoenda goba.bei 200 milioni mazungumzo yapo serious buyer only.contact 0756249110/0715249110
  5. makorere

    Bila chama cha mapinduzi

    Nimependa sana nyimbo ya CCM Bila chama cha mapinduzi Mafisadi yangetoka wapi? Bila chama cha mapinzduzi meremeta ingetoka wapi? Endeleza na mengine........................maana hayo ndiyo wanajua alafu wanawaita watanzania wapumbavu kwa kuyavumilia na kweli sisi ni wapumbavu tena kwa...
  6. makorere

    I committed 37 assassinations for the American government btn 1959 and 1972, including the actress

    Norfolk, Virginia| A 78-year old retired officer of the CIA, Normand Hodges, has made a series of astonishing confessions since he was admitted at the Sentara General Hospital on Monday. He claims he committed 37 assassinations for the American government between 1959 and 1972, including the...
  7. makorere

    Kenyan politics

    how do we judge President Museven Compliment towards ICC and UN on using the institution to put leaders they want in African governments?
Back
Top Bottom