Search results

  1. Y

    Katibu wa Tume ya Utumishi wa walimu adai walimu ndio wanalipwa mishahara mizuri kuliko mtumishi yeyote Serikalini

    Acha uongo bingwa, mshahara wa mwalimu mwenye Degree haulingani hata kidogo na mshahara wa mtu mwenye diploma fani yoyote alieajiriwa kwenye baadhi ya mashirika kama TAWIRI, TPA, REA, TANAPA na kwingineko. Hivyo, kama huna data ni busara kutokuchangia!
  2. Y

    Maumivu chini ya kitovu

    Ni kipimo cha CT scan,, ni bei kidogo, ila inategemea na aina ya hospital, yaani private au Government,, nashauri ukamuelezee dactari dalili hizo kisha yeye atapendekeza kipimo siyo busara kufika tu na kumwambia akuandikie kipimo cha umbrical hernia
  3. Y

    Maumivu chini ya kitovu

    Nenda hospital ukapime ugonjwa wa "UMBRICAL HERNIA"
  4. Y

    Hili la Prof. Assad kumaliza kipindi chake limekaa kisiasa zaidi na siyo kisheria

    Mkuu una uhakika mtu mwenye umri wa miaka zaidi ya 65 anaweza kuteuliwa kuwa CAG pia? Au katiba inaposema " u CAG wa mteuliwa utakoma pale tu atakapofikisha umri wa miaka 65 ikiwa atakuwa ametimiza vigezo vingine vyote ina maana gani?
  5. Y

    Rais Magufuli: Hivi mnadhani nikiondoka madarakani ndege, reli, hospitali zitajengwa? Kwanini huko nyuma hawakufanya haya?

    Siyo kweli mkuu, hata hao hawana ubavu wa kumzuia mwamba, tuombe Mungu atuepushe na hili janga tu hakuna namna nyingine
  6. Y

    Wazanzibar tuwe na tahadhari kuhusu hofu ya Ebola, Tanganyika

    Ni kweli mkuu wengi wa sisi watanganyika akili hatuna hata kidogo,, yaani hoja yako imelenga kuchukua tahadhari dhidi ya ebola kuingia zanzibar baada ya serikali ya Tanzania kuendelea kukana kuhusu tuhuma za kuepo kwa janga hilo, lakini cha kushangaza ni kwamba watu wana comment mambo ya...
  7. Y

    DGIS Diwan Athuman jiulize DDGIS Makungu alitumbuliwa au alipelekwa Tabora kujinoa kushika hatamu?

    Umeandika jambo la msingi sana mkuu, Siku hizi hakuna tena idara kwa sababu viongozi wake wamegeuzana maadui wao kwa wao, siku zote wanawaza kudukuana na kuchomeana kwa wakubwa wao ili kukwapuana madaraka! na hii ni kutokana na ukweli kwamba 1) Tanzania inaamini haina maadui wa nchi, ni kisiwa...
  8. Y

    Askofu Mwamakula: Ole kwa Taifa lisilotenda HAKI kwa watu wake! Unamkamata mtu eti upelelezi haujakamilika karne hii?

    Hayo mawazo yenu wanayatoa wapi wakati ninyi hamsemi na mko bissy na kazi zenu za specialization?
  9. Y

    Alijifanya mwamba, akasumbua bila kuguswa. Kafika kwenye 18 za watu! Kwisha habari yake

    Hii ni siasa , imepangwa na watu wa mfumo ili kuhalalishia umma kwamba mchungaji kipilimba alikuwa hafai kusimamia tiss! Trust me mwisho wa haya atakaeumizwa ni mchungaji Kipilimba na huyo inaedhani kuwa sasa anashughutikiwa atabaki kutamba mjini kama kawaida mkuu! Time will tell.
  10. Y

    Mtazamo wangu kuhusu onyo la mtu anayejiita “Kigogo” kwenda kwa Benard Membe

    Mkuu kigogo@2014 huwa ni nani kwani mie simjui? Naomba uniambie
  11. Y

    Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

    Uzalendo hautafutwi JKT bali ni matokeo ya haki katika taifa. Leo wanaohubiri uzalendo ni wale waliopita JKT na wakapikwa huko miaka 2 lakini leo hii wao ndio hao hao 1) Mafisadi 2) Wauaji 3) Wanafiki wa kutupwa na wapenda vyeo 4) Wanaoamini mtu mmoja ndiyo pekee anaeweza kuitoa Tanzania mahali...
  12. Y

    Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

    Ni kweli mkuu Mimi naamini TISS wako vizuri kwenye operation za kupambana na raia wanaokosoa serikali hasa hasa wanasiasa ndani ya nchi basi na siyo nje ya nchi, tofauti na hapo, mkuu tutadanganyana. Tuwe wakweli tu mkuu, Raia wengi wanaamini kuwa usalama wa taifa ni usalama wa raia, ardhi na...
  13. Y

    Lissu: Kukamatwa kwa ndege South Africa tusidanyanywe na kutupiana lawama, Serikali inatakiwa kulipa madeni

    Mkuu tuliza akili kidogo tu, usiwe kama demu anaetaka kuingiziwa dushe, Tundu ameandika kuwa serikali zilizopita zilikuwa zinaendelea kulipa deni kidogo kidogo, lakini huyu wa sasa kwa maamuzi yake ya kibabe aligoma kulipa deni hilo na kumfukuza Steyn asikanyage hapa nchini ndipo jamaa...
  14. Y

    Baadhi ya Watanzania wanafurahia Sana Serikali ya Tanzania inapopatwa na shida

    Msingi wa sheria ni kukopa halafu hulipi mpaka mali zako zikamatwe? Mmmmh! Hakika mkuu huna akili!
  15. Y

    Baadhi ya Watanzania wanafurahia Sana Serikali ya Tanzania inapopatwa na shida

    Nimeamini wewe siyo size yangu kufanya mijadala,, Hautumii akili kufikilia na kuchakata mambo na kutoa mapendekezo chanya! Umekaa kishabiki, kichama na si kitaifa! Nakushauri jaribu kuiacha akili yako iwe huru kufikiria, halafu jifunze kutofautisha msimamo wa chama na katiba ya nchi! Mwnye...
  16. Y

    Baadhi ya Watanzania wanafurahia Sana Serikali ya Tanzania inapopatwa na shida

    Mkuu hoja siyo usaliti bali ni kujiuliza kwanini watu wanashangilia serikali kupatwa na majanga? Ukikijua chanzo cha hii kasumba inayoanza kusambaa, basi kizuie hicho chazo! Nionavyo mimi haya yote ni matokeo ya kuhujumu haki za raia na tabia ya kubinafsisha serikali kwa mtu mmoja ambaye yeye...
Back
Top Bottom