Kuwa muda sasa kuna mama aliunguzwa na mumewe, shukrani kwa Rais Magufuli kwa msaada aliyempatia hadi ametoka,
Ila TLS chama ambacho mnajinadi kwamba mnatetea wanyonge mmekaa kimya leo Rais anapigizana kelele na polisi kutafuta cheap popularity while kuna issues za kufanyia kazi....
*TATIZO LA MFUMO AU MFUMO TATA?*
WATU flani wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2015 na hata baada ya uchaguzi walikuwa wanasema Magufuli yuko vizuri lakini tatizo lililopo ni MFUMO.
Wakasema JPM ndie kiongozi sahihi wa Tanzania kwa wakati huu lakini tatizo anatoka CCM.
Wengine wakasema ana...
Akiwa eneo la Nangurukuru mkoani Lindia mwanzoni tu mwa ziara yake ya siku 4 katika mikoa ya Lindi na Mtwara, Rais Magufuli hakusita kuonesha kuridhishwa kwake na utendaji kazi wa Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye.
#Magufuli: Tunataka wabunge hasa wanaCCM safi na...
Wakati watu wako busy kuleta maendeleo nyie mko busy kushinda mahakamani na kuhesabu kesi za lissu, kweli kuongozwa na watu wa namna hii kazi yao kishinda mahakamani ni tabu ndio maana wataalam wa mambo wanasema itawachukua tena miaka kwa upinzani kufikiriwa kuchukua dola...NOTE sio kuchukua...
Tukicount wapinzani wangapi wametuhumiwa...na CCM wanagapi wametuhumiwa....kama hata hesabu ndogo hujui huku unafanya nini......eti home of great thinkers....kwa mawazo haya jitoe humu..
Tatizo wabongo akili sijui mmeweka wapi....mliambiwa bado vita inaendelea na mmeambiwa hii ni sehemu ya pili simsubiri ngoma ikamilike ndipo tuanze kuhoji....wapo wengi na still chain ni ndefu na kwa jitihada hizi i believe kila mtu atafikiwa....TUTULIE SINDANO IINGIE..
Hapa ndipo utagundua wana jf ni watu wa aina gani...nawashangaa sasa mnapiga kelele juu ya hii vita ya madawa ya kulevya.
Bofyalink hii: Hii ya Juma Pinto Inatisha
Sijawahi kuona Bunge lenye wabunge wa ajabu Kama hili letu Tanzania, kwanamna hii tusitegemee maendeleo.
Mwaka 2014 wabunge hawahawa waliwaita majaji wa Tanzania vilaza wakati wakijua ni muhimiri mwingine lkn majaji hawakuwaita kuwahoji mahakamani
Wabunge hawahawa ndo juzi wakamtuhumu Mh...
Tujikumbushe tu.....hebu tuangalie hii list....alitajwa hadi rais kwenye tuhuma, ila wao walikuwa sawa....katajwa Mbowe imekuwa issue....
Jamani watu mlitaka mapapa hebu tutulie tuacheni kutokwa mapovu..
Mlitaka sindano inadawa sasa...hebu vumilieni maumivu
Mmmh Tanzania kazi ipo....vilaza wa mwenddokasi katika ubora wenu...mnakurupuka kuhoji while hamjui mnahoji nini...ndugu zenu wavaa kaki [emoji111]️[emoji111]️wataendelea kuwaburuza mpaka mshike adabu....
Mzee mbon mgumu kuelewa....mbon upo kwenye kiwango kikubwa cha ujinga labda niandike kwa herufi kubwa uelewe... SHERIA HAIPITISHWI NA KANUNI, BAADA YA SHERIA KUPITA NDIO WADAU WANAITWA SASA KUTOA MAONI ILI KUTUNGA KANUNI ZA KUONGOZA SHERIA ILIYOPITISHWA...NA SIO KWAMBA SHERIA INA KASORO NDIO...
We naeeee...hebu jaribu kifikiri kabla ya kukurupuka kuandika ujinga....sheria inapitishwa halafu baadae wadau wanakutana kuunda kanuni ili ziendane na sheria iliyopo....msyuuuuu....we lazima utakuwa rangi ya kaki......
Mzee acha kujiabisha...sheria ilipotishwa bila kanuni....now ndo muda wa kuunda kanuni ili iendane na sheria iliyopitishwa na sio kurudishwa tena bungeni.....hii jamii forum imebeba watu wa hovyo....hapa ndipo utajua wafuata upepo na wenye IQ zao...kama hujui kanuni zinaundwa baada ya sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.