Search results

  1. V

    Je Gwanda za Chadema zinauzwa Mahali..???

    Kiukweli watu wengi wametokea kuyapenda mavazi ya CDM na hata kuyanunua kwa gharama yoyote, ila upatikanaji wake ndio shida.Ushauri wangu kwa Makamanda ni kuyasambaza hayo mavazi (hata skafu) kwenye kila Wilaya na hata kwenye Kata ili upatikanaji wake uwe rahisi,hii pamoja na mambo mengine...
  2. V

    Unadhani Madaktari Wanaogoma si Wazalendo.....?

    Ndugu yangu HAKI HAIOMBWI hata siku moja bali INAPIGANIWA.....madaktari wanadai stahili zao unasema waache u-wanaharakati! napata shida na uelewa wako...Unataka nani sasa awapiganie madaktari kudai HAKI zao kama sio wao wenyewe....kama mwenyewe haujitamini unadhani nani atakuthamini? mimi...
  3. V

    Mapato ya mbunge wa bunge la Tanzania kabla ya kujiongezea posho

    Wana jf,sio kwamba posho hazitoshi kwa hawa "waishiwa" wetu tatizo ni mikopo waliyokopa ndiyo inawasumbua! unakuta mbunge kakopa 100M so unadhan anakatwa kiasi gani kwa mwezi na yy atabaki na kiasi gan..ndio maana wanasema posho hazitoshi
  4. V

    LINI JK ATATEUA WAKUU wa WILAYA?

    Kati ya nafasi ambazo katiba mpya inatakiwa kuziondoa ni UKUU WA WILAYA kwan hawana kazi yoyote zaidi ya kugombana na Wakurugenzi wa Wilaya ambao ndio watendaji na watekelezaji wa shughuli zote za serikal..
  5. V

    Hii ndiyo taarifa ya SUGU kuhusu usuluhishi

    Inapendeza kwa hatua iliyofikiwa na Ruge na Mh. Sugu..sasa cjui Kibonde atakua upande gani maana alikua anaingilia ugomvi uco muhusu..shame on him
  6. V

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Mrombo dah sory!Mramba......ndege ya rais lazima inunuliwe...mnataka rais wetu asafiri kwa Punda!!!???
  7. V

    Mramba alitishia watanzania kula Nyasi, JK katimiza huu usemi

    Moja ya viongozi ninaochukia kutokana na kauli zao ni huyo Mrombo! sikuamini masikio yangu wakati akiliambia bunge kipindi akiwa waziri wa fedha eti ni bora wananchi wale nyasi illi radar inunuliwe,nakumbuka wakati anatoa hayo maamuzi bungeni kulikuwa na vuguvugu la maandamano ya wanafunzi pale...
  8. V

    Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani?

    unanisikitisha ndugu yangu! Ina maana hujui bidhaa yoyote mtanzania anayonunua anailipia kodi?au wewe wajua wanaolipa kodi ni wafanyakazi tu wanaokatwa moja kwa moja (direct tax) kwenye mishahara yao....
  9. V

    Mgao wa Umeme: Tatizo ni UKAME - Kikwete akihojiwa na BBC

    Mi nadhan rais wetu hajui majukumu yake...hayupo serious kabisa na matatizo ya Watanzania,rais wa nchi unaweza sema Serikali haiwezi kuleta mvua kama ingeweza basi mabwawa yote yangejaa maji? Poleni sana waandishi wa habari coz mnakutana na mengi,cdhan kama mwandishi wa habari alitegemea kupata...
  10. V

    List of shortlist - nao & necta

    Thanks bra! but it discourages 2 call more than 4000 people 2 compete 4 only 100 positions! ila mckate tamaa mlioitwa kwny usaili coz huwez jua unaweza ukawa kijukuu ukalamba dume...
  11. V

    AMREF Tanzania

    Kaka dont expect 2 get much while u have nothing!wanachuo wengi wanapokua vyuoni huwa na matarajio makubwa tofauti na hali halisi ilivyo mtaani...nakushauri tafuta kazi kwanza ukishapata ndio uangalie sehemu nyingine how they pay otherwise unapotafuta kazi ya mshahara wa 2.5m per month while c.v...
  12. V

    Sitoisahau hii picha

    Halafu ndio wa kwanza kulilia posho na safari!kulikua na haja gani ya kuomngozana nae wakati analala kwny mkutano...huo ni ufisadi ambao CDM wanaoupinga...kwani hapoamelipiwa tiketi ya ndege first class ana perdiem zaid ya 500$...hadi hawa jamaa waondoke 2mekwisha kabisa..
  13. V

    Chang'ombe Hiyooooooooooooooooooo

    Ina maana yeye ndio alikuwa afadhali kuliko washiriki wengine!
  14. V

    Confirmed:> New love birds - Diamond and wWema Septu

    Dogo Halua haina Makombo.....Piga Mzigo huo
  15. V

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    Kwa ufahamu wangu kuna aina mbili za kustaafu,Mosi ni kule kustaafu kwa kawaida baada ya kufikisha umri (kipindi) flan katika utumishi.Pili ni kustaafu kabla ya mda (kipindi/umri) uliowekwa,aina hii mara nyingi huwa baada ya mhusika kushindwa kutekeleza majukumu yake huwa wanasema amestaafu...
  16. V

    Waziri Mkuu Pinda asitisha utekelezaji wa agizo la Magufuli la Bomoa bomoa

    Mi nadhan Dr.Magufuli sio wa kulaumiwa yeye anatekeleza sheria zilizopitishwa na bunge hilohilo ambalo waziri Mkuu ni msemaji wa serikali,sasa kama sheria inasema ifadhi ya barabara (kuu) ni mita kadhaa,mfano mita 90 ina maana wote waliojenga ndani ya hizo mita 90 ni wavamizi na wamekiuka sheria...
  17. V

    UEFA Champions League Quarter Final Draw RESULTS

    Naona watu wana i-underate Spurs...i believe itaonyesha maajabu na kufika final..
  18. V

    Wachambuzi wa soka kama edo kumwembe ni hatari kwa soka letu....................

    Kweli ni commentator mzuri wa masumbwi na kuponda wenzake.....
  19. V

    Mh. SUGU ofisini.

    kikubwa anafanya kazi za watu?ila sometime mtu anayeenda kupata huduma ofisi yoyote akiona mazingira mazuri ya ofisi anakua na imani na huduma atakayopata.so Sugu weka ofic fresh mkubwa...
Back
Top Bottom