Search results

  1. R

    Utamu wa public car!!

    hayo mambo ndio yaliyomkuta jamaa mmoja enzi ya UDA kupata mfadhaiko kaacha kushika bomba katoa nanihii yake na kuibandika kwenye makalio ya bint wa kimanga koko na kuchavua baibui, binti hakuvumilia hadi polisi - yakamkuta makuu. public transport zina madhara ila basi tu.
  2. R

    Nani anahitaji tiba?

    kwa kweli hiyo bbu kbwa ....... inaonyesha yeye ndiye mwenye matatizo ya kusikia vizuri.
  3. R

    Madaktari watatu kutoka china ujerumani na tanzania wakijadili mafanikio

    Akili ni nywele kila mtu ana zake, kuhusu yeye kutokuwa na uadirifu/kipaji/elimu ya uongozi ktk serikali yake usilaumu Kabila lake - yy ni kama yy na udhaifu wake wa kuongoza tusiharibu mada, maana ndani ya serikali kuna makabila mchanganyiko kama yeye anaharibu kwa nini wengine wasijiuzulu...
  4. R

    Kampuni ya Jk na riz!

    Sasa kama ni kampuni inayomilikiwa na Jk, wewe kilichokusibu hata hii topic uilete jamvini ni nini? RIJK ni watu sawa na wengine k.v. Bakheresa, Manji, Mengi n.k. kumiliki kitu kama hicho kisiwe ajabu kwao.
  5. R

    Should you maintain contact or friendship with Ex-partner?

    Kama walivyosema hao waliotangulia. Inategemea mmeachanaje, huenda mmoja wao kakutana na Pelejee pita njia/sugar mmumy kamwezesha basi siri ikivuja, mnaweza kuachana shingo upande. Hapo ndipo mtakapokuwa mnaendeleza mawasiliano ya kupigiana simu.
Back
Top Bottom