Search results

  1. Town Hustler

    Utaratibu wa kuomba ajira kupitia ofisi ya Waziri Mkuu(walemavu) ukoje ?

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kupitisha maombi Ofisi ya Waziri Mkuu(wenye ulemavu) Nasikia utawala wa awamu hii kuna utaratibu huo ili kuwezesha wenye auemavu kupata ajira serikalini
  2. Town Hustler

    Nifanye nini kufanikisha hili?

    Nilitaka kuapply chuo fulani, nikaanza kujisajili sasa nikapata changamoto siku 4 nikashindwa kulipa application fee. Je, itakuwaje ? Siwezi apply tena ? Hata chuo kingine?
  3. Town Hustler

    Nisome kozi gani?

    Habarini, Nina Diploma ina Law nahitaji kusoma kozi za degree tofauti na Law Kipaumbele changu ni kusoma masuala ya serikali za mitaa, maendeleo ya jamii na mipango miji Vyuo km vile Cha Serikali za mitaa na kile cha Mipango Dodoma Maswali a) Nikiomba inakubali? Nina GPA 3.1
  4. Town Hustler

    Ijue historia ya mji wa Tukuyu

    Hapa Tanzania kuna sehemu ukienda na ukapewa historia zake unaweza kubaki mdomo wazi, kwa kuwa ukiangalia mji huo kama hauendani na hiyo historia. Lakini kimsingi kuna miji hapa Tanzania kwa kweli imebarikiwa kuwa na historia ya kusisimua. Moja ya mji huo ni Tukuyu. Tukuyu ni moja ya mji...
  5. Town Hustler

    Msaada: The charger is over voltage

    Heshima kwenu waungwana, Natumia umeme wa solar una betri la 12V 33Ah nimefunga pamoja na controller na panel ya Watt 40 Taa zinawaka bila shida Kuchaji simu chaja naweka direct kwenye betri sasa kuna tatizo tangu juzi nikiweka tu simu inagoma na simu kuandika CHARGER IS OVERVOLTAGE PLEASE...
  6. Town Hustler

    Naombeni msaada na ushauri kuhusu solar...

    Heshima kwenu wakuu ! Nipo kijiji fulani nyanda za juu kusini...natumia solar tangu Jan Nilinunua betri mpya ya Sundar yenye ukubwa wa 12V 18 AH/ 20HRS na Panel ya Watt 20 nikawa natumia taa 1 na kuchaji simu pekee Mwezi wa 4 nikaongezea taa 4 (za Watt 3 mbili na Watt 2 mbili) Mwanzoni mwa...
  7. Town Hustler

    Halotel usajili wa line kwa alama za vidole majanga matupu

    Waungwana Mimi ni mtu wa mkoani ndanindani kabisa huko Sasa wiki hii nilipta nafasi ya kuja Dar nikaona ndio fursa ya kukamilisha kusajili namba zangu zote kwa mfumo wa wa alama za vidole Nikaenda odisi ya Voda nikasajiliwa bila usumbufu, nikaenda ofisi ya halotel nikaambiwa njoo kesho, nikaenda...
  8. Town Hustler

    TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Waungwana Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondomu ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu Ndo...
Back
Top Bottom