Search results

  1. mkatanyasi88

    Muda gani sahihi wa kubadili oil kwenye pikipiki

    Kama walivyosema wadau kwakweli oil tulizonazo nyingi zinapoteza viscosity haraka sana hivyo ni vema kwa misele ya town tu humu badili oil kila ifikapo 1000km. Ila endapo utasafiri safari kwa siku moja ya kama 400km ukifika badili oil itakuwa imepoteza kabisa viscocity level.
  2. mkatanyasi88

    IPI KALI BOXER BM150 .V/S. TVS HLX 150

    Binafsi nimetumia zote boxer 150cc na TVS 150cc, naona TVS ni bora sana hata kwa safari nimetumia sana. Tatizo la boxer 150cc ni 4 gear hivyo kwa safari ndefu ina-run ktk higher rpm hivyo mafuta mengi sana na power inapotea.
  3. mkatanyasi88

    TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake (Monica Magufuli) Hospitali ya Bugando

    R.I.P. Sote tulitoka mavumbini na mavumbini sote tutarejea. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mkatanyasi88

    Ukweli mchungu: Vijana wengi wanaohitimu VETA wapo vizuri zaidi ya wahitimu wa vyuo vikuu

    Mtoa mada kuna kitu anakosa kama kweli ni engineer. Analinganisha vitu tofauti kbs. Ni sawa na kusema manesi hospitalini wanajua sana kutibu wagonjwa kuliko madaktari. Hata ratio ya hayo makundi mahala pa kazi haifanani kbs. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mkatanyasi88

    Ukweli mchungu: Vijana wengi wanaohitimu VETA wapo vizuri zaidi ya wahitimu wa vyuo vikuu

    Upo sahihi kbs mkuu, mtoa mada amesema yeye ni mhandisi au Engineer sasa sijui kwanini ktk level yake hawezi kutofautisha majukumu ya artisans na engineers. Makundi haya mawili kimajukumu ni sawa na usiku na mchana na wanaandaliwa kwa malengo tofauti kbs. Hakuna mahala Engineer atafanya kazi ya...
  6. mkatanyasi88

    Makonda, Nape ni jino kwa jino kuhusu wabunge na madiwani wanaohamia CCM

    Yes mkuu hoja ya Nape ni nzuri tu coz hapingi ujio wa wanaohamia chama chake bali anaangalia kwa mapana madhara ya gharama za kurudia uchaguzi. Kwa msingi huo nadhani ndio maana alishauri uwezekano wa sheria mpya itayoruhusu wageni wahame na nafasi zao badala ya kurudia uchaguzi. Sent using...
  7. mkatanyasi88

    Huyu mkuu wa mkoa ameingia 18 zangu

    Timiza wajibu wako kwa haki. Anayestahili apewe na asiyestahili usikubali ushawishi ili upindishe sheria. Pua samehe watesi wako.
  8. mkatanyasi88

    Mbeya: Serikali kugharamia mazishi ya Alen Achiles aliyefariki baada ya kutoka Polisi

    Daaaah! Umeongea ukweli mkuu, tunapaswa kuwa salama tukiwa mikononi mwa polisi ili haki itendeke tukiwa salama na ukweli ujulikane.
  9. mkatanyasi88

    Ikithibitika CHADEMA ilihusika na uvunjifu wa amani, then inapaswa kufutwa kwa mujibu wa katiba!

    Hivi Tendwa bado ni msajili wa vyama vya siasa? Ok sawa.
  10. mkatanyasi88

    TETESI: Dangote kuinunua Yanga

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ngoja waje wenyewe.
  11. mkatanyasi88

    Wachawi mliopo JF nitoleeni ufafanuzi wa hiki kilichonitokea usiku.

    Mshana Jr upo vizuri mkuu [emoji1] [emoji1]
  12. mkatanyasi88

    Nataka niende Moshi na Boxer X150 nipeni ushauri wakuu

    Ondoka saa 11 alfajiri na kila baada ya km 200 pumzika vua koti kbs ili mwili upumue kdg na kupunguza tension. Uwe makini sana na magari yanayoovertake kutikea upande unaokwenda na ndio risk ya sisi waendesha pkpk safari ndefu. Wao wanakuja tu wakijua ww ndio utahama kwenda pembeni. Muda wote...
  13. mkatanyasi88

    KRYPTOS: Fumbo lilowashinda CIA

    Ngoja waje wajuzi wa mambo.
  14. mkatanyasi88

    SHINYANGA: Mtoto afariki kwa kukanyagwa na gari akiwa nyumbani

    Una hoja nzuri, kupakia watoto wadogo kwenye pkpk ni hatari sana, wanasinzia na hawana uwezo na nguvu za kujishikikia vzr. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom