Search results

  1. sunday jr

    Ili kumaliza utata tunahitaji Ngumi za Live kati ya Ruge Mutahaba na Francis Siza

    mdau upo makini hii mipasho mm sijawahi isikia au ulisikiliza vipindi vya miziki ya taarabu ukahisi ni bifu mkuu!
  2. sunday jr

    VIDEO: Kama hujawahi kunywa Energy drinks usinywe ona kilichompata huyu

    kunywa maji mkuu hiyo nayo usinywe ukishindwa kabisa tafuta togwa
  3. sunday jr

    Mbowe na Msigwa nyie si madaktari rudini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge

    umeongea ukweli mkuu tena watu wenye akili kama hizi za wakudadavua wafutwe wajisajili upya na wakati wakujisajili waulizwe maswali magumu ili washindwe kurudi humu maana hawa ndio wanafanya JF ionekane kama siyo ya magreat thinker kwa sasa.
  4. sunday jr

    Pale msanii unapotoa nyimbo 3 afu zote zii

    Mimi namsubiria king wa hii bongo fleva yeye huwaga hana papara akitoa nyimbo moja inaishi miaka mitatu
  5. sunday jr

    Mwanamke kutokunyoa nywele sehemu za siri

    sasa nini hiki umeleta?
  6. sunday jr

    Natongozwa na mpangaji mwenzangu

    piga mzigo wewe
  7. sunday jr

    Ufanyaji wa tendo la ndoa kwa wanawake wajawazito

    hakuna madhara tena ni nzuri sana mtoto atazaliwa na afya nzuri
  8. sunday jr

    Uhaba wa Balimi Morogoro

    naona ni mbadala wa viroba ,poleni sana
  9. sunday jr

    Nawasihi walimu msigome hiyo kesho

    mbona nipo na mwalimu hapa haelewi kama kesho kuna mgomo yupo tu hapa anapepesa macho tu
  10. sunday jr

    Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    wewe umeongea ukweli haka kajamaa ni kaoga sana watakua wamekatisha sasa kanakuja kugeuza ukweli kuwa uongo
  11. sunday jr

    Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    hahaaaa ! naona steve anawaigizia live bila chenga nimecheka kinoma
  12. sunday jr

    Madhara makubwa watakayopata Chama Tawala baada ya msanii Wema kuhamia CHADEMA

    naona kada wa buku 7 katika ubora wako
  13. sunday jr

    Hivi wema anafanya kazi gani?

    Leo Lumumba ndo wamekutuma uje uhoji huku kazi yake? pole sana naona inawauma kuhama chama na ww karibu sana
  14. sunday jr

    Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    hahaa ! hawa mabinti wa siku hizi hawaaminiki kesho tu atarudi alikotoka njaa mbaya sana ngoja tusubiri mda utaongea
  15. sunday jr

    Kuhusu Afya yangu Deogratius Kisandu

    nakubaliana na wewe kwa ulicho andika lakini na swali ,Je ulipima magonjwa ya akili pia?
Back
Top Bottom