Natumai tu wazima ndugu zangun, Kwa upande wangu Mungu ni mwaminifu kwangu. Naomben yeyote mwenye no ya tale tafadhar anitumie Nina shida naye sio Kwa lengo baya Bali kufanya naye biashara. Asanten usiku mwema
Natumai tu wazima wa afya Tele Wana jf. Naomba kujua ukweli kuhusu hii nakuuu kutoka kwa kiongoz wa kambi ya upizan mh. Freeman mbowe "ni aibu, na haijawahi kutokea katka historia ya Tanzania wabunge mbaka mawaziri kupokea burungutu la pesa kwenye bahasha za kaki"
Swali langu je ni kweli hawa...
Hili ndilo tatizo la watanzania, elimu yetu ya bongo inaeleweka unachosoma darasani sicho unachokikuta kazn, bado watu tumekuwa wazito kuelewa. Alafu ifahamike hiv, kuongoza au uongoz ni wito jaman sio elimu!!!!!!
Tatizo cio usomi tu, je elimu imekukomboa? Wengine tunasoma Lakin hatuelimiki, poor believes pia hatar ndo kuto kuelimika kwenyewe huko! Ushafundishwa kwa mganga anakulia pesa tu bado unaenda si uzoba huo!!!!!!!!!!!
Ni mtazamo wangu tu, nafikili hao viongozi wa dini nao walifikilie hilo suala kwa kina Zaid. Kwan kama watu wamekwisha kupendana then ukaja kukatisha mahusiano Yao ni vigumu kidogo. Kwetu Tanzania hiyo itakuwa ngumu sana, kwanza ndo utapelekea ishu ya kufunga ndoa kutoweka kabisa sababu ya woga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.