Search results

  1. MrNSSF

    PCCB: NSSF is the least corrupt institution in Tanzania

    men lie women lie numbers dont lie
  2. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    Kama una malalamiko contacts za wawakilishi wa wafanyakazi zipo wazi na wanajulikana. Je ulishawasilisha malalamiko kwa mwakilishi wenu na alikujibu vipi? Unaweza ku attach barua ya majibu ya maswali yako humu ili tuisome?
  3. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    Unaweza kuleta ushahidi ku support hizi tuhuma? Pili, hakuna malalamiko yoyote yale ambayo hayashughulikiwi je uliwasiilisha malalamiko na ushahidi wapi? na ulipewa stakabadhi na nani? Je what about makampuni kama CRJE, CITIC, ESTIM na mengineyo ambayo yanapata contracts PSPF?
  4. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    Uzuri wafanyakazi mna wawakilishi wenu kwenye board ya NSSF na wao wanawakilisha maslahi yenu Tazama maelezo yangu kwenye post ya kwanza.
  5. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    https://www.nssf.or.tz/index.php?option=com_docman&Itemid=221
  6. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    https://www.nssf.or.tz/index.php?option=com_docman&Itemid=221
  7. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    Uzuri NSSF haiendeshwi kienyeji Ina wawakilishi wa wanachama na kila linalofanyika tayari lishapata baraka za hao wawakilishi wa wanachama anyway Daraja mwendo mdundo.
  8. MrNSSF

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    Waungwana: Unlike mashirika mengine ya Umma na ya binafsi, sisi huku NSSF huwa hatuna makuu. Team yetu inaitwa TEAM RESULTS ORIENTED. Tumesema Tunajenga Daraja la Kigamboni (wana kigamboni wanaliita la Daraja La Dau) ushahidi huu hapa chini: Tumesema kuwa Kigamboni tunajenga sattelite...
  9. MrNSSF

    NSSF yaweka Historia: yazindua YouTube Channel & Itafanya Live Streaming Matukio yake

    Men lie, women lie numbers dont lie Nitajie Pension fund inayofanya social investments kubwa kuliko zote Tanzania Nitajie pension fund yenye coverage kubwa kuliko zote Tanzania Nitajie pension funds ambayo ime raise the bar kwa service nzuri kuliko NSSF? Are we perfect? the simple answer is...
  10. MrNSSF

    NSSF yaweka Historia: yazindua YouTube Channel & Itafanya Live Streaming Matukio yake

    Nimesema kuwa hakuna pension fund yenye youtube channel hivyo ni milestone kwa pension funds za Tanzania Kuna ubaya gani?
  11. MrNSSF

    NSSF yaweka Historia: yazindua YouTube Channel & Itafanya Live Streaming Matukio yake

    hebu fafanua hayo masharti magumu ni yepi? lete hizo supporting data
  12. MrNSSF

    NSSF yaweka Historia: yazindua YouTube Channel & Itafanya Live Streaming Matukio yake

    pole sana kwa kutopata kadi yako ontime lakini tatizo hilo lishashughulikiwa na pole sana kwa usumbufu pia ningependa kukufahamisha kuwa youtube ni mojawapoya njia za mawasiliano na watu na nakuhakikishia kuwa tunafanya kazi masaa 24 kuhakikisha wanachama wetu wanapata fist class value for...
Back
Top Bottom