Search results

  1. K

    Nina mashaka sana, mwanamke wangu nahisi kabisa ni dada poa

    Mimi kitu pekee kinachonipa msongo n pesa tu. Mapenzi sitaki kabisa na najitahd kutoyapa kipaumbele. Mwanamke nikigundua mshenzi napiga chini.
  2. K

    Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

    Ireen Kunuka mdomo; demu mzuri lips nzuri ila ndio hivyo. Asha Kunuka jasho. Hapendi kupaka manukato Happy Kunuka uchi
  3. K

    Madhara ya kurukwa ukuta kwa wanawake (kuingiliwa kinyume na maumbile)

    Siku na mimi nijaribu kwa demu yeyote nione utamu wake.
  4. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ujio wa Iryn ktk maisha ya Insider ndio mwisho wa mama J. Ila jamaa anajua kutuweka sawa. Inahitaji utulivu sana wa akili kujua mama J alijichenga.
  5. K

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ulitaka alale na jeans useme analalaje na nguo! Wewe jamaa vp umepewa green light ...tukapanda kitandani cha ajabu kalala bila nguo kilichofat niliifumua ile manzi ya kinyiramba ki-hip hop sana
  6. K

    Dark days 17/03/20...

    Nakuelewa sana mkuu
  7. K

    Wanaume mnayotufanyia wake za watu kwenye Daladala Mungu anawaona

    Mimi nipo tayar kuzunguka na bus kuliko kusimama.
  8. K

    Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

    Umesema mnapendana, mnaheshimiana na MNAAMINIANA. Unajua maana ya kuamini? Au uliandika tu
  9. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Twende taratibu. Sababu ya kumsonya nini?
  10. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kwa story ilivyo inaonekana mama J alishasepa kitambo. Iryn na Insider wapo pamoja
  11. K

    Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

    Sioni tatizo ktk kuanika chupi zake ikiwa hazijatoboka kati, ama kulegea kiunoni au kuchanika, ama kati kuwa na weusi. Kwani hao wapangaji hawajui kama mkeo anavaa chupi? Tofauti na imani za kishirikina sioni tatizo. Usipende kujipa shida zinazoepukika kaka.
  12. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nakubaliana nawe. Ndio maana huku juu nilisema ashirikishe familia yake. Halafu familia kama itaona n lazima kwa wakati huo kusema basi kikao cha pande mbili kitaketi. Tupo pamoja mkuu
  13. K

    Ushauri, naogopa kumwambia ukweli nisije nikampoteza

    Nimepigia mstari hisia zangu. Asante kwa ufafanuz. Insider ushauri wangu Mwambie huyo dada ukweli wote na msimamo wako mapema sana. Mwache aamue yeye kuendelea nawe au kuachana nawe. Huyo dada anakupenda sana, akikufungua moyo kupokea hiyo taarifa kwa amani na kukubali yaishe mtaishi kwa amani
  14. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Yaah amwambie ukweli mapema. Kuficha n ulaghai
  15. K

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Insider na mama J hawajafunga ndoa bado, ndio wapo ktk mchakato. Ndio nikamshauri kabla ya kufika mbali aweke wazi kuhusu Iryn na mtoto. Huyo mama J ndio ataamua kuendelea na mchakato wa ndoa ama la.
Back
Top Bottom