Mmetoa majina ya continuing students lakini first year hatuoni majina ya kusaini. Hela ya kujikimu boom hatuna na tulipata mkopo. Sasa hatuelewi, tunakufa njaaa huku!
Wengine hapa walishaanza kuulizia boom la pili lakini kuna watu mpaka leo majina ya kusaini hskuna hasa 1st year Tutakufa na njaa aseeeh mtu unakosa hata 10 mfukoni afu unajiita upo sokoine univerdity....duhh too much sasa
mpaka sasa mwezi unaelekea was pili sasa sijui tatizo nini majina wanatoa mawili mawili tutakufa na njaa aseee...maisha magumu huku wengine washapata wachache sisi tunaisoma nambaa mpaka Leo duh........Mungu tupiganie
Ijumaaa ni mahafali ya graduates
SUA bila uongozi, bila mkopo,bila boom watu tunashindia maji sasa hii ni hatarii kwa wadada zetu ambao hawana uvumilivu, wataharibiwa bila kupenda ila kitokana na mfumo uliopo itawaathiri kama ingekuwa inawezekana wadada ndo hata wangepewa boom ili pengine...
Leo mweziii toka bodi watoe mikopo kwa wanafunzi lakini leo ni mwezi hela ya kujikimu(boom) kwa vyuo vyenye hadhi kubwa kama SUA ni janga....majina hayatoki ya kusign hadi leo wanatoa ma wili mawil...duh tunaisoma nmba
Leo almost week na kitu imeisha ukilogin unakuta loan breakdown tu kila siku majina hayaji vyuoni mpaka lini sasa maaanake tunasubil kila siku hakuna asee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.