Search results

  1. C

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Tatizo kubwa ni Elimu na Kutokuwa na Ajira. Angalia wanaoleta vurugu ni raia wa aina gani?- wengi wao hawana elimu na hawana ajira.
  2. C

    Maoni ya Lucy Mayenga (Mb) Kuhusu Bunge lililoahirishwa leo

    Sipati picha bunge la 2020 litakuwa vipi!! Vilaza hawatakuwepo. Nitaomba bunge la kujadili mswada lifanyike uwanja wa Taifa. Ili na wenye inchi tuwepo na yule atakaye sema ndio kwa uduanzi wa kusupport chama tunamalizana nae hapo hapo.
  3. C

    Hatimaye CHADEMA wamefanikiwa kusitisha muswada wa kubadili katiba 2011

    Kuna mahali nilisoma eti Shitambala alisema kuwa mswada wa katiba hauna tatizo! Angekuwa karibu ningemtwanga. Hakuna kulala. Wamekubali kusitisha mswada wa katiba ... Sawa mapambano yanaendelea. Mfumuko wa bei nao tukomae nao.
  4. C

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Inamaana ni hao 3 tu ndo wanaipaka matope CCM? Nadhani kazi iendelee wapukutishe wengine. Hata wale wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama somebody Hiza.
  5. C

    Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

    Huyu jamaa namfahamu kuwa hafai tangu kutambo! Alinidhulumu pesa yangu akifanya kazi za kiwakili. Ni katika mchakato wa kusajili kampuni yangu ndipo akatokomea na nikajua hafai. Alipo ihujumu chadema ktk mchako ule wa ubunge nikaconfirm kabisa. Kwake pesa ni muhimu kuliko maslai ya taifa.
  6. C

    Inaudhi: JK - sijui kwanini Tanzania haina viwanda kama Japani...

    Rais aliye makini hawezi kuwa na majibu ya SIJUI katika mambo ya msingi. Kuna umakini unakosekana. Hakuna maendeleo pasipo kufanya mabadiliko.
  7. C

    Mh. Jk muamuru Magufuli ajenge nyumba alizobomoa!!

    Nimekusoma kamanda. Rais ni mweupe kichwani. Hana uwezo wa kufikiri mambo ya msingi .... he just wanted the title ila sio majukumu. Mwanaume mzinzi uwezo wake wa kufikiri ni finyu always.
  8. C

    Russian nuclear firm suspends uranium mining deal in Tanzania

    Can't the Tanzanian themselves invest and do this project. If the benefits are so high to help our country. Kama serikali haiwezi waache pending vipo vingi vya kufanya. Ntatoa mfano mmoja. Tanzania tunazalisha ngozi kila siku kutoka kwa Ng'ombe, Mbuzi na Kondoo. Serikali ianzishe...
  9. C

    The Citizen: JK alilishinikiza Bunge kumpa Zitto ulaji

    Mwanaume yeyote mpenda ngono hata huongozi wake sio makini. He can't think straight. Tunataka Rais Makini
Back
Top Bottom