Search results

  1. B

    TAMISEMI wanadai wamesitisha uhamisho mbona Wafanyakazi wanahama kwa kulipia kuanzia Tsh 700,000 mpaka 1,000,000?

    Habari za asubui wanajamvi?! Mimi ni mhanga wa uhamisho baada ya Serikali kusitisha uhamisho nilikuwa kwenye proceess za mwisho kabla ya uhamisho kufungwa.Hivyo sikubahatika kuhama kwani Tamisemi walidai wanaboresha uhamisho na soon ungelifunguliwa. Lakini cha kushangaza mpaka leo hakuna...
  2. B

    Prof. Ndalichako, baadhi ya wakuu wa vyuo hukataa kuwapa vyeti vyao wanafunzi wanaomaliza kisa wanawadai

    Napenda nikupongeze kwa usimamiaji majukumu yako katika wizara yetu nyeti ya Elimu Sayansi Na Teknolojia. Pia naomba kukupongeza kwa kwa kusimamia kwa uadilifu vyuo vya kati nikiamanisha vyuo vya Ualimu katika zoezi lako zima ambalo liliagiza wanafunzi wote waliokuwa mwaka wa kwanza warudishiwe...
  3. B

    Hii kitu imekaaaje mbona haieleweki

    Sala jamani wanajamvi nimekutatana na kitu katika kupita kwangu sasa hii imekaaaje kwahiyo siku hizi kupata ajira mpaka uwe mwanachama wa CCM.Pia ikumbukwe ajira zilitoka waaalimu wengi ambao walikuwa makada wa ccm waliajiriwa, katika kumbukumbu zangu kuna kaaada mmoja mtiifu ambaye alifeli...
  4. B

    Mwenye Joining Instructions ya Korogwe Tc

    Sorry wadau naomba mwenye joining instructions ya korogwe techers college 2017/18 naomba atuwekeeee hapa ili tufaham tarehe ya kuripoti.
  5. B

    Kleruu Teachers College punguzeni upigaji wa pesa

    Chuo cha ualim kleruuu kinaongoza kwa michango isiyo na tija.Michango imekuwa mingi na kupelekea kero kwa wanafunzi.Waziri mwenye dhamana please jitahidi ushughulikie tatizo hili kwani imekuwa Dhima kwa wanafunzi.
  6. B

    Kwa ubabe huu lazima tunyoooke

    Ni hali ya kusikitisha sana tena saaaana kwa viongozi wetu kutokana na kauli zao za kibabe kwamba anaesema mshahara mdogo aaaache kazi. Awamu zote zina mapungufu lakini awamu hii inaonekana wametupania sana. Kama watumishi hewa wamewatoa, wenye vyeti fake wamewafukuza, Ajira zimekuwa zakusaka...
  7. B

    Kwa unafiki huu wa viongozi wetu tutaendelea kweli?

    Nmejaribu kufanya reseach zangu kwa muda mrefu katika nchi yangu shamba la bibi kwa mda mrefu na kugundua viongozi wetu ni wanafiki na waongo wa kutupwa hizi ni baadhi ya kauli zao katika kudhirisha unafki na kujipendekeza. 1. Ukiwa na vyerehani 4 tayari nawewe una kiwanda 2. Natembea na...
  8. B

    Kutoka Nchi ya viwanda mpaka kuwa ya watekaji.

    Mwaka 1990 aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Robert Hauko wakati huo na Raisi akiwa Daniel Arap Moi alitekwa na kuuwawa kinyama n mwili wake ulipatikana shambani kwake ukiwa umeharibika vibaya kwa kuchomwa moto. Sababu kubwa ya kuuwawa wadadisi na watafiti wa mambo ilikuwa ni mapokezi makubwa...
  9. B

    Hebu walioko vyuo ualimu pitia hapa

    Jamani nasikia wanafunzi wanaojiunga vyuo vya diploma ya ualim wanatakiwa kujihudumia chakula kwa pesa yao.wenye kujua naomba msaada wa katika hili.
  10. B

    Bodi ya mikopo yaanza kuachia majina ya waombaji wa mikopo wenye uhiitaji maalum.

    Bodi ya mokopo ya elimu ya juu imeanza kutoa mikopo kwa waombaji wenye uhiitaji maalum. Hii itajumuisha mayatima wenye kutoka familia duni ppamoja na wenye ulemavu. Kama haupo kwenye category hiyo usijisumbue kumaliza bando lako.
  11. B

    UFEDHULI WALIOFANYIWA MADOGO WALIOKWENDA MASOMONI ALGERIA NA SERIKALI YAO SIKIVU

    Daaah hii serikali yetu ya mwendo kumnembe aka mwendo kasi ni noumaaaa. Hii ni baada baada ya wanafunzi wapatao 25 kushindwa kupelekwa Algeria kwa ajili ya kupata shahada zao. Wengi wa wanafuzi waliobahatika kupata scholarship hiyo miaka ya nyuma walilipwa hela ya nauli go and return!? Na pesa...
  12. B

    Mwenye barua pepe ya Loans Board anisaidie

    Msaada, Naomba mwenye barua pepe ya Loan Bord aniasidie kwani kila nikiwapigia kwenye namba zao hawapokei.
Back
Top Bottom