Search results

  1. Okuberwa

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Mwl Nyerere
  2. Okuberwa

    Wale Wa Zamani Kidogo, Je Mnakumbuka Haya Mavitus?

    Pole Kongosho, usilie basi, nitakununulia bazooka!
  3. Okuberwa

    Wale Wa Zamani Kidogo, Je Mnakumbuka Haya Mavitus?

    Mmmh,jamani!Nimekumbuka radio mbao (dudu proof) ya mdingi wangu.
  4. Okuberwa

    Kikwete: Waliochochea ukabila ndio wanachochea udini leo...

    Weye unadhani yule Nabii Issa Bin Mariamu wa Qu'ran na yule Yesu Kristo wa Biblia ni sawa au wanabeba uzito sawa ktk misahafu yote miwili?
  5. Okuberwa

    umewai sikia hii kitu???? ATM GOLD MACHINE DUBAI..

    Hapana sikia hii kitu! Hii kali!
  6. Okuberwa

    What Are Your Ideas, Dreams, Plans & Resolutions For 2013?

    Hongera! Binafsi nategemea kuacha kunywa pombe!
  7. Okuberwa

    "Natamani Mpenzi wangu asafiri"

    Wonders will never cease!
  8. Okuberwa

    Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    Wacha kukurupuka kijana; ukisema "uenda wamedhulumiana", ina maana huna uhakika na unachoongea. Tafakari kabla ya kutoa comments.
  9. Okuberwa

    wahaya mjifunze kiswahili fasaha

    Hakuna neno kama hilo (red hapo juu) ktk maneno ya Kihaya! Kuna maneno na sentensi kama hizi: Nimeshiba bila kula = Nansiiba ntalile. Natafuta asali mbisi = Natafuta asali mbichi. Konda, konda mimi nateremkia hapo machoni = konda, konda waitu ninshukila aho umumaisho. nimeshiba =...
  10. Okuberwa

    Mchumba wangu mchawi

    Kama unampenda basi kubali yote yatakayotokea baadae.
  11. Okuberwa

    Natafuta rafiki wa kuchat naye!

    kaazi kweli kweli!
  12. Okuberwa

    Demu ananiomba anilalie zipuni!!

    Hadithi, hadithi? Hapo zamani za kale alikuwepo sungura mmoja...
  13. Okuberwa

    Kama hujawahi tumia hii Kimbo, basi wewe ni kizazi cha akina Lulu

    Vile vitabu enzi zile vikisomeka sana leo hii ni nadra kuviona : Robinson Crusoe, Sinbad wa Baghdad, Alfu Lela U lela au Siku Alfu na Moja, Hadithi za Kikwetu, Safari za Gulliver, Kisiwa Cha Hazina n.k. Majina ya characters ktk vitabu maarufu, tuliyatumia kama majina ya utani: Bulicheka...
  14. Okuberwa

    UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    Umesema wewe kuwa SI MWANASHERIA, mwisho kabisa una conclude kuwa: 'Dogo haruki hata iweje' So why do you bet, if you know that you are ignorant of the Law?
  15. Okuberwa

    Jiunge tanzanialifeclub sasa!

    Biashara ni matangazo! Tumekusikia mkuu.
Back
Top Bottom