Search results

  1. AirTanzania

    Tanzania is among of uhappy countries in Africa

    The World Happiness Report (WHR), published since 2012, has found that happiness is less evident in Africa than in other regions of the world. While there are 54 African nations, the report tracks the happiness of 44 African countries polled by Gallup World Poll (GWP). The least happy country...
  2. AirTanzania

    Julius Malema aanzisha Maandamano ya kum'goa Jacob Zuma

    Mwanasiasa Julius Malema na Chama chake EFF wamepanga kuanzisha maandamano ya kum'ngoa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma leo. Maandamano yasio na kikomo yataanzia Church Square katikati ya jiji la Pretoria. Julius Malema akiwa anawahutubia wafuasi wake mbele ya Mahakama Kuu Pretoria aliwaambia...
  3. AirTanzania

    Watanzania wamuua mwenzao Msumbiji kisa madawa ya kulevya

    Watanzania wawili huko Mozambique wamemuua kijana mwenzao kwa kumpiga nyundo ya kichwa kwa ajili ya unga mwisho wa mwezi uliopita Mei 2016. Tangu kwa kutokuiingia kwa unga katika fukwe za Tanzania vijana wengi wanaouza unga wamekimbilia nje za nchi hasa South Africa, Mozambique, Madagascar...
  4. AirTanzania

    Madawa yapitishwa tena Airport JKNIA

    A man travelling from Tanzania has been arrested at OR Tambo International Airport in a R12 million drug bust. He was allegedly carrying the drug ephedrine, worth over R12 million, in his luggage. Officials say when he was asked to put his luggage through the customs scanner, it revealed 10...
  5. AirTanzania

    Video: Ufunguzi wa Kampeni za Ubunge wa CCM Ubungo Masaburi-2015

    Jana kulikuwa na ufunguzi wa Kampeni za Masaburi kwa ajili ya mbio za kugombea ubunge kupitia jimbo la Ubungo 2015. Akiwa amezungukwa na nyomi la watu pamoja na wanachama wapya waliokuwa wamerudisha kadi za chadema kwake kupinga kuondoka kwa Dr.Slaa.
  6. AirTanzania

    Magufuli ni mwanasiasa aliyefilisika kihoja na wala hana uwezo wa kushinda uchaguzi kihalali

    Magufuli ni Kikwete mwengine ambaye ni mwanasiasa aliyefilisika kihoja na asiye na mvuto na hana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya ujeuri. Magufuli ni mtu anayetaka kupewa kura kwa kuonewa huruma . Tangu achaguliwe kuwakilisha chama chake kwenye uchaguzi mkuu hajaweza kuhamasisha watu na kuwapa...
  7. AirTanzania

    CUF wakubali kutoa mgombea mwenza UKAWA

    Vikao vya CUF vimemalizika na wamekubalia kuwa CUF watatoa mgembea mwenza na CHADEMA watoe mgombea urais. Juma Duni ndie atakaye kuwa mgombea mwenza kupitia CUF. Kutokana na CHADEMA kutoa Mgombea urais sheria inasema pia mgombea mwenza atoke chama hicho hicho kinachotoa rais. CUF wamekubali...
  8. AirTanzania

    Tanzania's elephant killing fields (Kinana aendeleza ubabe mbugani)

    Government research shows that 30 elephants are slaughtered a day by poachers in the country. Ever more of them are going to the grave – and their...
  9. AirTanzania

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    Mabasi 5 ya Champion yamebeba Wanajeshi yako njiani yanakuja. Serikali yatoa tamko yasema watu 91 wanashikiliwa. Bunge laahirishwa tena. Kupisha uchunguzi na kuepusha uchochezi kutoka kwa baadhi ya wabunge. (Kwa mujibu wa Spika) Maeneo ya Magomeni, Chikongola, Nkanaledi, Mikindani maaskari...
  10. AirTanzania

    Launch of 4G a ‘major milestone’ for Tanzania

    SMILE Communications Tanzania, a subsidiary of Johannesburg-based Smile Telecoms Holdings, said on Friday it had launched the long-term evolution (LTE) service, commonly called 4G, in Tanzania. Smile was founded by Irene Charnley, a former executive at MTN Group, who is its CEO. Ms Charnley...
  11. AirTanzania

    Watch live match Real Madrid vs Bayern Munich

    Kwa wale mliombali na TV basi unaweza kuangalia live streaming kwenye hii link http://www.atdhenet.tv/46113/watch-bayern-munich-vs-real-madrid Kwa mlio bongo nakushaurini muangalie tv hii link itakumalizie bandwidth zenu na Adsl yenu ya kunesanesa kama Serikali ya M k ere bora mmpate update...
  12. AirTanzania

    Africa’s youth should rebel - Mbeki

    The youth of the African continent should prepare themselves for a rebellion against their older generation and claim their leadership role Thabo Mbeki said on Saturday. Mbeki who was addressing the Youth 21 global leadership forum in Nairobi, Kenya said two thirds of the...
  13. AirTanzania

    Two boyfriend wish one girlfriend happy birthday on live show (Radio)

    Wakuu habari za masiku, Juzi nilipokuwa nasinzia sinzia , hafla nikasikia njemba 2 zikimtumia email Dj wa show kwenye station ya radio kumuomba ampigie g/f kum-wish happy birthday. Kumbe na mwengine pia akawaametuma email kwa dj na kumuomba the same request kwa same woman sikilizeni hapo
  14. AirTanzania

    CODES: Kwa Mafundi Simu tu

    FOR ALL SAMSUNG CELLPHONES *2767*3855# >>>>>>>> PASSWORD, LOCK CODES *2767*2878# >>>>>>>> FLASHING, GPS SIGNAL *2767*3001# >>>>>>>> NETWORK, CONNECTIONS *2767*9240# >>>>>>>> TEST MODE *2767*6187# >>>>>>>> CONTACT SERVICE...
  15. AirTanzania

    Sala ya Kuliombea Taifa letu Watanzania

    Dear god, I pray, that when the sni grows and blackwash spreads it will not be constituted by cowards and liberals who are afraid to take a stand. Let’s not desire unity for unity’s sake. Dear God, you have carried us through 50 yrs of Poverty, Dear God, can you give us the strength to fight...
  16. AirTanzania

    Je Tanzania itawezekana kupiga kura kwa kutumia SMS?

    Tanzania ni moja ya nchi inayokuwa katika Soko la Mawasiliano (Telecommunication) na karibia kila mtu ana simu ya kiganjani. Kama tunaweza kutransfer pesa, kuangalia salio katika akaunti yako kwa nini tusiweze kupiga Kura kwa kutumia meseji (SMS) ili kuondokana na tatizo la kina Tendwa na genge...
  17. AirTanzania

    4 Mods BANNED

    ID: Paw Sababu: Kumkashifu Invisible Duration: Life =========== ID: PainKiller Sababu: Kumzushia Uongo Mzee Mwanakijiji Duration: Mpaka Mpangaji Wa Magogoni amalize muda wake au afukuzwe na wenye pango lao ============== ID: Snail Sababu: Kumtongoza Vivian & Jestina Duration: Mpaka...
  18. AirTanzania

    Zimbabwe gives mines 14-day deadline to hand over majority

    Haya mambo kwa Bob yamekucha tena wakati Mafisadi wanagawa Ardhi yetu kwa Wazungu, Mugabe anakula nao jino kwa jino. Zimbabwe’s government has given foreign companies including miners and banks a 14-day ultimatum to submit plans on how they propose to transfer majority stakes to local owners...
  19. AirTanzania

    Tanzanian government pays for Air Tanzania's aircraft maintenance

    Information was finally confirmed that the government of Tanzania has indeed used some of their sparse cash to pay for major aircraft maintenance for Air Tanzania’s (ATCL) sole aircraft, a Bombardier Q300. The plane was withdrawn from service early this year and flown to South Africa for a...
Back
Top Bottom