Search results

  1. SHAROBALO

    Kwanini Mabenki hayarudishi pesa wanazokata kama " Bima ya mkopo pindi deni la mhusika linapoisha

    Sikilizeni watanzania, Bima ya mkopo ni sheria ya Bank kuu kwa taasisi za kifedha zote zilizochini yake. Bima ya mkopo uliyokatwa wakati wa mkopo inapelekwa kwenye shirika la Bima , Bima ya mkopo ina cover, Kifo na ulemavu wa kudumu Endapo Mnufaika wa mkopo atapokufa au kupata ulemavu wa...
  2. SHAROBALO

    AZAM TV nawahama kwa kweli

    hicho cha 39,000 je kifurushi kikikata unapata local channels,? Maana naskia vya dish hupati local bila bando. Nafanya research nichukue kipi kati ya digtech na star au continetoo
  3. SHAROBALO

    Uliza swali lolote kuhusu solar PV and solar pumps

    nawezaje kucharge laptop bila kutumia inveter,
  4. SHAROBALO

    Msaada wa kimawazo: Nijenge au ninunue gari

    fanya vyote.... jenga chumba na sebule self kwa milion 6 tu, hio mil 9 vuta kausafili. take it from me, wengi humu watakuzingua achana nao
  5. SHAROBALO

    Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

    nyinyi hamuijui njombe.... Ukibahatika kufika njombe ulizia bar moja inaitwa TAREE.. Japo zipo nyingi ila hii ndio kiwanja kikubwa cha ufuska.. Ngono na pombe kwenda mbele. halafu sababu kuu ya ugonjwa huu ni kwamba...bar nyingi za njombe zina tabia ya kubadilishana wahudumu..mfano baa A...
  6. SHAROBALO

    Swali la kizushi

    soma vizuri alimpajirani feki akapewa halali,jirani akarudisha feki akapewa halali...hadi hapo ngoma droo hakuna hasara yoyote hapo 1+0 = 0+1 unaelewa nini ukiangalia hizi namba...
  7. SHAROBALO

    Swali la kizushi

    yaani wewe ungekuwa sweet hatii wangu ningekufundisha taratibuuuuu hadi ungependa na ungeelewa tu...
  8. SHAROBALO

    Swali la kizushi

    ile elfu nane uliyo mpa je.?
  9. SHAROBALO

    Swali la kizushi

    E kuomba chenji bado nikapewa elfu 10 halali nimerudisha chenji halali elfu 8 yule karudisha feki nimempa elfu 10 halali nimepoteza elfu 8 na mkate wa elfu 2. apana chezea switi mangi...im very experienced.
  10. SHAROBALO

    Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

    kuna haja ya magari haya kuwekwa SEAL baada ya kupakia mzigo, kama magari ya mafuta. Wahusika sikieni hili. Hapa serikali ingepata kipato kwa tozo la faini ya mazingira.
  11. SHAROBALO

    Njoo tujuzane ujuzi wa kutafuta sattelite za chaneli bila kubahatisha

    au tufanyeje tupate itv kwa kutumia kingamuzi na dish hili hili la azam.
  12. SHAROBALO

    Njoo tujuzane ujuzi wa kutafuta sattelite za chaneli bila kubahatisha

    hivi kwa kutumia hiki kingamuzi cha azam cha zamani naweza kubadili mueleleo wa setelite mfano kwenda amosi 5. Bila kubadili dish wala kingamuzi
  13. SHAROBALO

    Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

    kuna mama mmja mjane alibakwa...ilikuwa mtata mwishowe ikaingia...akatulia tuliiii akaonyesha ushirikiano kabisa kila kitu..walipo maliza yule mama akaanza kupiga kelele...eheee..
  14. SHAROBALO

    Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

    aisee... Mtafanya watu watamani kubakwa
  15. SHAROBALO

    Njoo tujuzane ujuzi wa kutafuta sattelite za chaneli bila kubahatisha

    vipi kuhusu muvies hapo..nitapata channel za muvi hata mbili tatu
  16. SHAROBALO

    Njoo tujuzane ujuzi wa kutafuta sattelite za chaneli bila kubahatisha

    esport HD on azam other channels frequency 10845 symbol 30000 polar H
  17. SHAROBALO

    Kusajili laini za simu mtaani ni hatari, hatari kabisa

    asante san, tutaongeza umakini na hawa vijana. Kuvaa tshirt ya kampun isikupe sababu ya wewe kumwamini 100% tena una mpa simu aichokonoe chokonoe simu ya milioni unampa mtu ambaye u just met......
  18. SHAROBALO

    Kwanini mchawi hawezi kuiba hela benki japo anaweza kupenya ndani, kuroga ama kupaa angani

    ukisoma kwa makini kitabu cha JIFUNZE UCHAWI volume 1 kile kipengele cha tatu a na cha sita b, kimesisitiza kabisa kuwa pesa ni karatasi,pesa huwa pesa nje ya uchawi...ndani ya uchawi hakuna pesa yaani mchawi akiwa uchawini haoni pesa anaona makaratasi. By the way hicho kitabu bado sija ki publish☺
Back
Top Bottom