Search results

  1. W

    Kampuni za Alpha hazilipi kodi!

    Kama kaweza kuingia kwenye udobi sidhani kama atashindwa kuuza kucha bandia na mawigi.
  2. W

    Kampuni za Alpha hazilipi kodi!

    samahani naomba kujua kama manywele entertainment ni yake pia.
  3. W

    Wahadhiri waeneza siasa za chuki vyuoni

    hili jambo liangaliwe kwa umakini kwani unaweza kuta mhadhiri wa ualimu aananza chambua viongozi wa serikali na kupandikiza chuki miongoni mwa wanachuo. kama wanapenda siasa basi wajiunge na vyama wanavyovipenda na kupanda majukwaani.
  4. W

    Sitasahau!!!

    Mungu yu Mwema
  5. W

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Kwenye masuala ya imani huwezi thibitisha kisayansi hata kidogo.
  6. W

    Elections 2010 Kambi ya mtaka urais 2015 yasambaratika

    Naamini ishu kubwa sio mgombea wa CCM 2015 ila namna hawa wastaafu wanavyorudisha nyuma nchi yetu.
  7. W

    napiga hodi

    nitatimiza wajibu huo dada Dena.
  8. W

    napiga hodi

    thanx mr cool
  9. W

    napiga hodi

    asante sana bwana katavi
  10. W

    napiga hodi

    nina amini mawazo mbadala yanakaribishwa humu ndani. hodi,wahusika.
Back
Top Bottom