Search results

  1. lnx

    Makao makuu ya Wilaya ya Kilombero

    Naomba kuuliza au kuelekezwa kuna vigezo gani hufuatwa ili makao makuu ya wilaya yaweze kujengwa mahala fulani? Nimeuliza hilo sababu kuna sintofahamu wapi makao makuu ya Wilaya ya Kilombero yawekwe japo kwenye kikao cha madiwani walikubalina yawe Mngeta ambapo kimsingi ndiyo katikati ya wilaya...
  2. lnx

    Ziara ya Rais Magufuli mkoani Simiyu

    Kama kweli rais wa jamhuri ya muungano ni rais wa wanyonge kama anavyojiita,awapo ziarani mkoani Simiyu naomba akayatoyalee ufafanuzi haya; Huduma za afya katika hospital za mkoa huo ni mbovu sijawahi kuona hasa hasa wilaya ya Maswa ambayo kwa hakika kama kuna mwingine anaifahamu vizuri hii...
  3. lnx

    Waziri Mkuu afanye ziara wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu

    Naomba Waziri Mkuu kama atasikia au kuona huu uzi aende wilaya ya Maswa-Simiyu,maana nahisi imesahaulika kwa kila kitu hadi huduma za jamii kama maji, afya na mengine mengi yanafanywa ndivyo sivyo.
  4. lnx

    Naomba msaada wa mawazo

    Nina mwanangu ana umri wa miezi 13 sasa lakini tatizo lake hataki kula chochote isipokuwa anataka kunyonya tu kwa mama, sasa nifanyeje huyu dogo apate kula walau kidogo?
  5. lnx

    Msaada kuhusu TECNO P6

    Naomba kuelekezwa namna ya setting ya cm yangu TECNO P6 ambayo huwa ina load previous sms nilizokwisha delete kwenye inbox, wakati setting yake ya ku load previous sms iko off.
Back
Top Bottom