Search results

  1. Ifumange

    Nasikia ni tamu ila naogopa kujaribu

    Comment yako ni ya 201 unazidi kuipaisha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Ifumange

    Hospitali ya Massana sijapenda hii tabia. Ni mara ya tatu maabara mnafanya haya...

    UTI gonjwa mtambuka enzi zetu sijui ulikua unaitwa nn? Au haukuwepo! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ifumange

    Lipuli waliifanyia Yanga umafia huu

    Tena ilikua SUMU KUVU Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Ifumange

    Akifikia kileleni ananing'ata ,ananipiga au anajiumiza

    Kemea pepo hilo. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Ifumange

    Kiwanja kinauzwa kipo Mbezi Makabe Dar es Salaam.

    Mhh! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Ifumange

    Eti wanawake mkifikiria ile stori ya Adam na Hawa huwa mnawaza

    Kwann ikatazwe kuoa ndugu wakati watoto was Adam na Hawa walioana? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Ifumange

    Wasichana wa dar

    Umesahau birthday zao ni karibu kila mwezi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ifumange

    Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

    Hata ukiwa na mgonjwa alikua hawezi kula ghafla akaweza kula chakula cha kutosha basi stuka hesabu saa kadhaa tu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ifumange

    Serikali inunue mabasi na ifute leseni kwa mabasi ya Dar kwenda Mwanza,Arusha,Mbeya,Dodoma,njia hizo Serikali izimiliki, itapata mabilioni

    Dawa ni SGR kwenda Mbeya, Arusha na kwingineko. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ifumange

    Nimekuwa addicted sana na Romance [emoji36]

    Kila nikienda Hosp UTI haikosekani sijui haiadhiri sehemu nyingine? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ifumange

    Sitamsahau Demu Huyu

    Kumbe nimegundua waswahili wamefupisha jina la Pharaoh wakapata tusi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ifumange

    Wapiga picha useles

    Na wao wanataka wakapost. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ifumange

    kipindi hicho

    Zilikua zinaitwa Air form. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ifumange

    WASOMI WA VYUO VIKUU.

    Siasa ni viwanda. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Ifumange

    Mtandao wa Airtel mbona sms hazinifikii nikitumiwa

    Nimegombana na mtu tangu juzi kumbe ni mtandao! Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Ifumange

    BASATA mpo wapi???? Rosa Lee anatuonesha sana nyeti zake.

    Hawa hawajakutana na mama zetu huku uswahilini ananyonyesha kayatoa yote ananyonyesha huku anafua. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Ifumange

    TUJADILI: Hukumu kwa waliochoma Kituo cha Polisi Bunju A

    Parole hii ya Mrema anaweza kuwaamuru kesho wakakutana na msamaha ukasubiri sherehe ya kitaifa. Sio issue. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Ifumange

    TUJADILI: Hukumu kwa waliochoma Kituo cha Polisi Bunju A

    Kina Babu Seya walihukumuwa na mahakama na muheshimiwa akaingilia hili anashindwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Ifumange

    TUJADILI: Hukumu kwa waliochoma Kituo cha Polisi Bunju A

    Hayo mafunzo atayatumia wapi wakati amefungwa maisha? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom