Search results

  1. P

    Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

    Mi bado naendelea kuishangaa nchi yetu. Leo tunajiandaa kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wetu, lakini viongozi wapenda hela na maisha bora yao na familia zao waliopo madarakani wamesahau kabisa majukumu muhimu ya ustawi wa jamii yote ya kitanzania. Utakuta wanatanua na magari na wanaishi kwa kodi...
  2. P

    "Babu" na mseto wa kauli zake

    Jamani wana JF. Mimi ninafanya kazi hapa Halmashauri ya Wilaya Ngoro2, makao makuu yake ni Loliondo. Kutoka hapa kwenda Sami=unge ni km 56Km hivi Mi naomba tu niwaondoe dukuduku maana nyie mpo mbali na hapa. Ni hivi, Hapa tulipo tulio wengi hatujaenda kwa babu kwa maana ya ule usemi "Nabii...
  3. P

    I can't enjoy sex

    Mi naona mawazo yote ni mazuri. Lakini mi ninachoamini ni kwamba njia za kisasa ni safe ingawa si nzuri kwa afya. mi nimesikia watu wengi sana wanapatwa na matatizo hasa wanawake kwa kukosa au kucheklewa kushika mimba au kushika mimba na kutoka. Wengi hawashabikii sana hizo za kitaalam. Mi...
  4. P

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Na mimi naiomba wazee maana ujasiri wa mali ni muhimu kwa maisha ya leo. Kama inawezekana naomba unitumie kwa mail yangu hii: yonahphares @yahoo.com Nitashukuru sana wana JF kwa mambo yenu mazuri haya.
  5. P

    Mahari milioni 5

    Kweli hiyo kali, Ila mi sishangai sana hapa kwetu tz. wazazi wamekuwa na tabia ya kupiga hesabu ya gharama walizotumia kwa mabinti zao na kufanya zilipwe wakati wa mahali. Nadhani ndo maana hata ukandamizaji kwa wanawake hauishi na mfumo dume ndo unazidi kukua ingawa wanawake wanakimbilia...
Back
Top Bottom