Search results

  1. The Prophet

    Joseph Kusaga ateuliwa Mwenyekiti Kamati ya Kuongoza kamati ya Kupendekeza vazi la Taifa

    Clouds ni redio ya CCM wewe. unafikiri magamba hawanaakili kukubali redio uhuru ife hivihivi?
  2. The Prophet

    Ni Wakati wa Kuachana na Mawazo ya Watu wanaochoma Makanisa Kugombea Urais wa Muungano

    This is what they always think: BBC News - Nigeria churches hit by blasts during Christmas prayers Ni mtizamo tu. Mods mkitaka mhamishie kwenye internationa forum, au mnipige ban. nshazoea.
  3. The Prophet

    Kauli zenye utata za Mzee Ah Haj Ali Hassan Mwinyi

    "Watanzania mmekalia vyanzo vya maji. Vitunzeni hivyo vyanzo vya maji, msivichezee chezee".
  4. The Prophet

    Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

    sijakusoma mkuu. labda urudie kauli yako kivingine. unasema?
  5. The Prophet

    Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA

    bahati mbaya kwa ccm ni kwamba the so called moronic plebiscite voters are rapidly vanishing. isipokuwa kama mnazaliana kama mende, your kiddos will vote for the crap ccm in the future, otherwise, tafuteni pa kujificha au mjiandae kutawala kwa kuchinja wanaowapinga.
  6. The Prophet

    Venezuela gets its first shipment of gold bars back from Europe

    Dr. jakaya anaagiza turudishiwe vyura na mijusi yetu. black pipo ukiwachunguza ni sawa na kuchunguza kuku.
  7. The Prophet

    Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

    nigongee 'like' kwanza ndiyo unikashifu.
  8. The Prophet

    Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

    kunani kati ya EL na CDM?
  9. The Prophet

    Muda huu star tv Tundu Lissu & Celina kombani

    startv wanatumia satellite jamani au mmsesahau? satellite itakuwa na mushkeli.
  10. The Prophet

    Muda huu star tv Tundu Lissu & Celina kombani

    halafu kesho mtu asimame na aseme kuna uhuru wa vyombo vya habari. pumbafu kabisa!!
  11. The Prophet

    Mchakato kupata Katiba Mpya: Hakuna Maandamano, Upinzani kwa hili!

    It's a shame that we have a president who has never been, never he is and never will be a role model. he's a complete failure and i wonder if he thinks he is proud of leading this nation.
  12. The Prophet

    Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

    Nepi anasikika na watu wa magamba tu. sisi wengine tunaendelea kusikia harufu ileile ya ccm ambayo haina tofauti na harufu ya choo cha passport-size kipindi cha mvua za masika.
  13. The Prophet

    Mama Yetu Salima Hawezi Kupasua Mayai?

    sasa kama kiswahili ni international language kwa nini yule maza wa kizungu aliamua kupasua mayai hali akijua kiswahili ndiyo lugha ambayo yeye na salima ingewaunganisha? kama una ushahidi kiswahili ni international language weka link.
  14. The Prophet

    Mama Yetu Salima Hawezi Kupasua Mayai?

    hakuna mahala tumesema tunadharau kiswahili. wewe unachanganya mada tu
  15. The Prophet

    Mapinduzi yaja Tanzania

    kwa Muammar Qaddafi kuna jangwa na ukame miaka yote...hawana shida ya maji, barabara wala umeme. na wanatusaidia kutujengea misikiti huku huku kwetu. huyu mtu wetu anaposimama na kujitetea ati tatizo la umeme ni ukame, bado simuelewe. mimi siyo juha.
  16. The Prophet

    Mama Yetu Salima Hawezi Kupasua Mayai?

    bi salima alikuwa hataki hata kuuza nyago kwenye kamera wakati mzungu alipokuwa anampasulia mayai. sosi: itv jana usiku
  17. The Prophet

    Mama Yetu Salima Hawezi Kupasua Mayai?

    inawezekana kweli mie sijui kupasua mayai lakini huyu festi ledi wetu alitutia haibu kule kwa madiba
  18. The Prophet

    Kaimu Katibu Mkuu Nishati na Madini atangazwa

    so now i hope we will get away with this shyt called mgawo wa umeme
  19. The Prophet

    Kaimu Katibu Mkuu Nishati na Madini atangazwa

    nimeizimia avata yako
Back
Top Bottom