Search results

  1. livafan

    Kauli za Rais Samia “nitasimama na wananchi” je wanainchi anasimama nao kwa lipi?

    Herini ya Mwaka mpya kwetu sote tuliojaariwa pumzi tena na Mwenyezi Mungu kuwa sehemu ya watz tuliojariwa kuendelea kuishi tena. Niende moja kwa moja kwenye hoja ya maada hapo juu na swali nililoambatanisha hapo nitaomba wajuvi wa mambo mchambue na kutoa mwongozo na majibu juu ya swali ambalo...
  2. livafan

    Hayati Baba yetu, Dkt John Pombe Magufuli Kuitwa Mtakatifu hapo Mbeleni

    Mark my Word : “Livafan” Mheshimiwa kafanya mambo Mengi sana ya kupigiwa mfano kama kama kiongozi wa Taifa letu;- Hayati Dkt John Pombe Magufuli nina imani na ninaamini kanisa la Tanzania linahaja na sababu zote za Kumtaja Magufuli kama Mtakatifu: Yafuatayo ni machache tu Marehemu 1...
  3. livafan

    Cement yazidi kupanda bei mkoani Mwanza

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu, Bei ya Mfuko wa cement Mwanza unazidi kupaa, awali mfuko wa cement apa Mwanza ulikuwa ukiuzwa kwa 18000/= Tsh lakini kuanzia wiki hii cement kwa mfuko inauzwa kwa 18500/= hadi 19000/= , Hatujui sababu kuu ni nini haswa, sijui ndio kupanda kwa bei...
  4. livafan

    Hii picha inafichua jambo kubwa sana katika huu mradi wa kimkakati

    Picha ongea pls; Tuichakate vizuri hii photo
  5. livafan

    Deni la Wingereza (UK) ni kubwa kuliko Uchumi wa Nchi

    Kansela Rishi sunak amesema, takwimu zinaonyesha kuwa hali imekuwa mbaya sana kwa uchumi wa taifa hilo kutokana na mripuko wa virusi vya corona. Deni la taifa hilo kwa sasa lenye kiwango cha £1.95trn sawa na 5557.5trn za kitanzania, limezidi uchumi wa taifa kwa mara ya kwanza tangu 1963 , hii...
  6. livafan

    Wallpaper ya Simu yako ikoje?

    Habari za Jioni wanajamvi ? UZI UMEKOMEA APO Yakwangu hii apa [emoji116] [emoji41], wife haipendi kweli yani,
  7. livafan

    Msaada wa namna ya kutumia AUTOCAD

    Habari zenu Ndugu wadau Wa hili jukwaa la Kazi na Tenda, Naombeni msaada wenu hasa ktk steps za kuandaa profiles mfano Kwa upande Wa Sewer lines, Roads etc, Nimejalibu kupitia pitia documentary tutorials za wadau Youtube naona sielewi, Msaada Plz. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. livafan

    Joti anahamasisha ushoga

    Sikatai Joti yuko after Mpunga na ni kwa Faida na masirahi yake ni jambo lililo jema kabisa. Juu ya uwezo wake Wa kuigiza sina Mashaka he is a special celebrity hapa Bongo. Kuhusu cc watu wazima sina shaka nalo kwa sababu tunaelewa nn anachokifanya na anachotafuta, ila Kwa kuwatazama watt wetu...
  9. livafan

    Enzi zetu sisi wahenga

    Sio mbaya tujikumbushe enzi zetu sisi wahenga, nikijalibu kuangalia miserebuko na mapigo ya siku hizi za kalibuni tofauti ni kubwa sana, enzi zetu binti ilikuwa akivaa moka za kiume hata hajistukii, Hizi ndizo serebuko adimu kwa sasa.
  10. livafan

    Mwanaume Wa Dar

    Mwanaume Wa dar akimkwepa Mende, hivi nyie wanaume Wa dar mnawezaje kujiita vidume wakati hali enyewe ni hii. Ati jidume zima linaogopa kukanyaga sakafu kisa Mende.
  11. livafan

    Shinyanga: Kila mwezi ngombe wanachanjwa 1@ Tsh 1000/=, je Mamlaka zinajua?

    Juzi Juzi nilitembelea kijijini kwetu maeneo ya kanda ya ziwa katika harakati za hapa na pale , lkn kwa kuwa nami nimuenyeji Wa maeneo hayo na watu wengi tunafamiana nao ,nikapata Bahati ya kushirikishwa jambo na mmoja Wa wananzengo (mkaaji) Wa eneo hilo. Kuna siku tulikuwa tukibadilishana...
  12. livafan

    Gari aina ya kluger inauzwa

    Mzigo huu hapa
  13. livafan

    Taja mnyama mwenye jina la umoja na wingi

    Naanza na huyu Umoja/Wingi Mjusi/mijusi
  14. livafan

    Hii ingekuwa Bongo, msanii 50 Cent adhabu gani ingemfaa?

    Wamarekani huu Uhuru wao niwa PHD.
  15. livafan

    Ni kweli Tanzania ina uwezekano mkubwa wa kukumbwa na tetemeko la ardhi mwaka 2019?

    Wadau nimekutana na hii taarifa , je wana geologia wetu mnasemaje juu ya hili
  16. livafan

    Wafanyakazi wa NIDA na rushwa ndogo ndogo

    Kusema ukweli hili zoezi la vitambulisho vya Taifa linaloendeshwa na NIDA Officers ni zuri sana lakini huduma za hawa watu ni mbovu sana na mpaka imefikia hatua binafsi nimeanza kuhisi harufu ya rushwa ndogo ndogo kama za (kujuana na hela ndogo ndogo za vocha) yawezekana hawa officers wa NIDA...
  17. livafan

    Je ,dw wachochezii ?

    Nafanya kautafti ,nahitaji maoni yenu wana jamii wenye maono ya mbali. Je hii media ni wachochezi au hapana? Jibu ndio au hapana ?
  18. livafan

    Wanaoonyesha mpira kwenye mabanda hawalipi kodi

    Najua watz wengi tunapenda michezo mbalimbali na haswa huu mpira wa miguu. Na hiii imeenda mbali zaidi kufikia hatua ya watz wenzetu kuiona hii ni kama fursa kwao ya kujiingizia kipato kulingana na demand ilivo kubwa, pongezi kwao kwa walioiona hii kama fursa na kuifanya kama biashara. Niseme...
  19. livafan

    Tatizo la uume kusimama ukiwa kwenye magari ya abiria, nini sababu?

    Kama kichwa cha habari elezwa hapo juu kinavyojieleza , Leo nikiwa naelekea Posta tokea Kimara mara mama moja akawa anapayuka na kumshambulia kaka fulani kwamba kashindwa nini kudindisha mbele ya mke wake anakuja kudindishia kwenye gali la umma na kumgusisha yeye Wanawake tusitilini wanaume...
  20. livafan

    WAKALI WA KUCHORA: Tupia Picha Kali ya kuchora

    Katika haya maisha kila mmoja wetu kajaliwa karama(kipaji) chake, yaweza kuwa ni Kucheza Mpira, kuimba, kutunga story na Pengine kuwa mchoraji. Binafsi Mimi napenda sana uchoraji kwa namna yeyote ile japokuwa sijawa mzuri kihivyo katika fani hii, lkn najua wapo wajuvi wa hivi vitu ambao kupitia...
Back
Top Bottom