Search results

  1. livafan

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Inaonekana Israel ni kama Underdog, but never underestimate her, Zionist are dare minded to confront any one who comes after their beloved territory, They have ever never been cowardly (😂) to defend the origination of Zionist.
  2. livafan

    Wataalamu wa mchezo wa draft tu:Je mwenye nyekundu anaweza kwepa kufungwa supa hapo?

    Mchezo gani , France au british ? France ni sale british ni Super anapigwa mwekundu
  3. livafan

    Wataalamu wa mchezo wa draft tu:Je mwenye nyekundu anaweza kwepa kufungwa supa hapo?

    Anatelemka na nyekundu ile kule nyuma kwa kunyoosha down, blue hata afanye nini , ni draw
  4. livafan

    Mkeo akikubambikia mtoto ambae si wako utachukua uamuzi gani?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787], Kitu kizito hichi. Ova
  5. livafan

    What happened to Africa?

    Sio kweli
  6. livafan

    Hili ndio Kundi gumu CAF

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Katika ma big thinker wewe ndiye Mwenyewe
  7. livafan

    Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

    mbarika njoo mbarika tuvue samaki tu, achana na hizi mbegu bandia
  8. livafan

    Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

    Picha pliz, bila picha haki ya NANI huna MVUTO
  9. livafan

    Israel yawataka Wapalestina kuondoka Katikati ya Khan Younis Wanataka Kufanya Usafi. Gaza ndio inaishia aisee!

    Arabs cleansing is on flick , Jewish are the true definition of recreation
  10. livafan

    Israel yawataka Wapalestina kuondoka Katikati ya Khan Younis Wanataka Kufanya Usafi. Gaza ndio inaishia aisee!

    Ukifuatilia kwa umakini hiyo inayoitwa gaza ilikuwa ni ni izrael , kipindi kile wana wa izrael walipelekwa utumwani misiri waliowaondoa hapo ni hao hao wanaofurushwa leo hii, Gaza Ni Aridhi ya Izrael mtakuja kuelewa badae. Hapo hapigwi Hamas bari Mzayuni anarudisha ardhi yake yote na hapo pote...
  11. livafan

    Bank tellers ni wezi wa kimya kimya, kuweni makini

    Mi kuna siku hapo UDBS Miaka ya Nyuma kidogo nilipeleka mpunga sikuendakuchukua ila nilipeleka kuweka , nilipeleka m3.5 na nilihesabu vyema na kujiridhisha vizuri kwamba hela ilitimia, wakati niko na bank nishamkabidhi zile hela na akaweka kwenye counting mashine , ghafla nilipigiwa simu maana...
  12. livafan

    Zimwi likujualo halikuli likakwisha. Uelekeo wa Rais ni Sukuma Gang baada ya kuona Msoga Gang wanataka kumzingua

    Mpeni inchi Mhuni Makonda au Sabaya , walau tusogee Mile moja mbele. Inchi yetu haihitaji Smart leadership, wanaoonekana Wahuni ndio watakuja kulisaidia hili taifa.
Back
Top Bottom