Search results

  1. mubuga1980

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Utabiri wa leo tar 2.04.2017 mnasemaje wazee wa kubet?
  2. mubuga1980

    Tabora TTC mwaka 2007-2009 tufahamiane hapa

    Wanachuo wote wa cheti na stashahada tufahamiane hapa
  3. mubuga1980

    Serikali yapiga marufuku walimu kuhamishwa kwa uonevu

    Labda hili linakuwa suruhisho la Mwalimu kukaa muda mrefu kituo kimoja na wakati mwingine hadi kustafu
  4. mubuga1980

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kufungana au idadi ya magoli?
  5. mubuga1980

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndugu zangu naomba msaada wenu wa kubet kwa njia ya kawaida mfano Voda *149*19# mitandao mingine inakuwaje mfano Airtel, Tigo, Halotel nk.
  6. mubuga1980

    Zitto: Toka Uhuru rais hajawahi kuteua Kaimu Jaji Mkuu, rais Magufuli amemteua ili awe anamtisha

    Kwahiyo Jaji mkuu sio rahisi kutengua uteuzi wake au inakuwaje?
  7. mubuga1980

    Pendekezo: Watumishi wa Umma wafanye kazi mpaka Jumapili

    Kikawaida mtumishi anapaswa kufanya kazi masaa mangapi kwa siku? 1day@xhours
  8. mubuga1980

    Mbowe: Rais Magufuli ndiye rais wa pekee Tanzania atakaekaa madarakani kwa kipindi kimoja

    Yetu masikio na macho. Kikubwa tuombe uzima hadi 2020
  9. mubuga1980

    Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Bunge linaweza kumwondoa madarakani Rais

    Kwa swala hilo hapa nchini kwetu bado sana tu kutekelezeka
  10. mubuga1980

    Vipi mshahara wa March tayari?

    Hilo ngoja tufuatilie tuone?
  11. mubuga1980

    Jee Wakubwa Nao Wamemchoka? Alianza Warioba, Ruksa then .......

    Hiyo ni mitazamo yao ambayo inaweza kuwa kweli au si kweli.
  12. mubuga1980

    Waziri Mwijage: Kwa sasa Tanzania ina zaidi ya viwanda 52, 000

    Hivi viwanda vipo kweli nchi hii ambavyo ni wastani wa Viwanda 2000 kwa kila mkoa (mikoa26@viwanda2000)
Back
Top Bottom