Search results

  1. PRODA LTD

    Nani anaweza kusimama na kuyapinga maneno ya Tundu Lissu yote aliyoyaongea kuhusu serikali

    Nani anaweza kusimama na kuyapinga maneno ya Tundu Lissu yote aliyoyaongea kuhusu serikali juzi haswa lile la kuteua viongozi serikalini kikanda......! Hadi sasa wanaojitahidi kuipinga kauli za Lissu juzi hawajamjibu wala kuonyesha uongo wa kauli zake zaidi wanatoa maneno ya kusutana kama...
  2. PRODA LTD

    John Mnyika: Nimemtembelea Lissu asubuhi, yuko salama, ana amani na anatuasa tusikae kimya

    Nimemtembelea Lissu asubuhi yuko salama na ana amani. Ujumbe wake mkuu kwetu ni TUSINYAMAZE!!! Mbunge WA Jimbo LA Kibamba John Mnyika
  3. PRODA LTD

    Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Mashinji jiuzulu kwa maslahi ya Upinzani Tanzania

    Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vicent Mashinji Ajiuzulu kwa maslahi ya Upinzani Tanzania. Ni takriban miaka miwili sasa tangu Dr Wilbroad Slaa Katibu Mkuu wa zamani CHADEMA ajiuzulu wadhifa wake na kujitoa kwenye siasa za majukwaani. Ni ukweli usiopingika kwamba wengi wa wananchi hususan CHADEMA...
  4. PRODA LTD

    Kuna mambo mengi yanazungumzwa mitandaoni kuhusu uchaguzi wa jana wa EALA

    Nimetoa kwenye ukurasa wa Facebook wa Malisa GJ. Kuna mambo mengi yanazungumzwa mitandaoni kuhusu uchaguzi wa jana wa EALA. Sikutaka kutoa maoni yangu lakini ngoja niseme yafuatayo; Kitendo cha Kamati kuu ya chama chetu kuwapitisha wagombea 6 maana yake iliwaamini hao 6 kati ya wengi...
  5. PRODA LTD

    Kuna vurugu kubwa maeneo ya stend ndogo Arusha

    Wanabodi, Kuna vurugu kubwa maeneo ya stend ndogo Arusha Jiji la Arusha, vurugu hizi zimesababishwa na hatua ya Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kutoa barua za kuwapa vibanda madalali ambao hawafanyi biashara. Mgogoro huu ambao umchukua sura mpya ikiwa ni pamoja na tuhuma za hao madalali kutoa...
  6. PRODA LTD

    Mwakyembe kusema kwamba Mhe.Nassari aliingia na chupa ya konyagi bungeni akazuiwa mlangoni sidhani

    Habari inayodaiwa kutolewa na Mwakyembe kwamba Mhe.Nassari aliingia na chupa ya konyagi bungeni akazuiwa mlangoni (lango kuu la bunge) sidhani kama imetoka kinywani kwa Mwakyembe. Kwa sababu siamini mtu mzima tena mwenye PhD kama anaweza kusema uongo wa hovyo kiasi hicho. Habari hiyo ni ya...
  7. PRODA LTD

    Lusinde-CCM ameishauri serikali kuanzisha dawati maalum litakaloshughulikia upotevu wa watu nchini

    Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde-CCM ameishauri serikali kuanzisha dawati maalum litakaloshughulikia upotevu wa watu nchin i-
  8. PRODA LTD

    CCM akili zenu finyu sana. Sasa tatizo hapo liko wapi?Malisa alitumia takwimu kuonesha kwamba Lowasa

    CCM akili zenu finyu sana. Sasa tatizo hapo liko wapi? Malisa alitumia takwimu kuonesha kwamba Lowassa anakubalika kiasi kidogo ndani ya CCM kuliko Dr.Slaa alivyokua anakubalika ndani ua CHADEMA. Hoja ya Malisa ni kwamba Lowassa ndani ya CCM alikua anakubalika kwa chini ya 20% jambo ambalo...
  9. PRODA LTD

    Kigoma: Mwalimu aondoa madawati na kuanza kuishi darasani, asema amechoka kuishi uraiani

    'Mwalimu aliyehamia darasani amefanya hivyo bila mimi kujua, kashaweka mapazia vitanda na kufuli' - MWALIMU MKUU KANDAGA Mwalimu Mkuu Kandaga athibitisha Mwalimu mmoja kuondoa madawati na kuanza kuishi darasani asema 'nimechoka kuishi uraiani' ===== Mwalimu mmoja katika shule ya Kandaga...
  10. PRODA LTD

    Wabunge wa CCM waitaika serikali kutoa majibu sahihi kuhusu utambulisho wa Daudi Bashite

    Dodoma. Wabunge wa CCM wameitaka Serikali kutoa majibu sahihi bungeni kuhusu utambulisho wa mtu aitwaye Daudi Bashite. Sakata hilo liliibuka juzi katika kikao cha wabunge wa CCM kilichoongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini hapa. Wabunge tofauti waliozungumza na Mwananchi walisema...
  11. PRODA LTD

    Serikali yapokea msaada wa kibajeti Sh. 490 bilioni kutoka Umoja wa Ulaya zitakazotolewa kwa miaka 4

    EU YAISAIDIA TANZANIA: Serikali yapokea msaada wa kibajeti wa Sh490 bilioni kutoka Umoja wa Ulaya zitakazotolewa kwa miaka 4 kuanzia 2017/2018. ====== Umoja wa ulaya kuipa Tanzania Shilingi billion 490 kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Umoja wa ulaya umeingia mkataba na serikali ya Tanzania...
  12. PRODA LTD

    Ubunge Afrika Mashariki: Majina ya wagombea wa CHADEMA na CUF yakataliwa na msimamizi wa uchaguzi

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA TAARIFA KUHUSU UTEUZI WA WAGOMBEA WA UCHAGUZI WA WAJUMBE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI IMETOLEWA NA: MSIMAMIZI WA UCHAGUZI S.L.P 941 DODOMA 3 APRILI, 2017 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA TAARIFA KUHUSU UTEUZI WA WAGOMBEA WA...
  13. PRODA LTD

    Mwenye kibali cha kuyafahamu maisha yanayofuata kwa kila binadamu ni Mungu tu

    . PICHA NA ELIMU KUBWA Picha hii ni ya mwaka 2010, yaani miaka saba iliyopita. Wa tatu kwa waliokaa kutoka nyuma ni Kassim Majaliwa ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji. Majaliwa hakuwa hata mbunge wakati huo. Nyuma ya Majaliwa ni Prof Mark Mwandosya ambaye wakati huo alikuwa...
  14. PRODA LTD

    Sipati picha kesho Dar itakuwaje, wale wa mikoani nao itakuwa kero maana hakuna basi litakaloondoka.

    . Wale mnaotumia usafiri wa daladala kwenda makazini kaeni mkao wa kutembea kwa miguu kwenda makazini maana kesho wamiliki wa vyombo vya usafiri wametangaza kuendesha mgomo usio na kikomo kupinga sheria wanayoiita kandamizi. Sipati picha kesho Dar itakuwaje, wale wa mikoani nao itakuwa kero...
  15. PRODA LTD

    Tundu Lissu alinusurika kushambuliwa na mbunge wa zamani wa Bunda, Steven Wasira katika kikao

    . Lissu: Nilinusurika kupigwa na Wasira Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu alinusurika kushambuliwa na mbunge wa zamani wa Bunda, Steven Wasira katika moja ya vikao vya Bunge mjini Dodoma.Soma Zaidi.. ===== Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu alinusurika kushambuliwa na mbunge wa...
  16. PRODA LTD

    .Kafumu asema uamuzi wa kuzuia mchanga kwenda nje umekuwa wa haraka na unaweza kupotezea nchi mapato

    Mbunge wa Igunga, Dkt. Kafumu asema uamuzi wa kuzuia mchanga kwenda nje umekuwa wa haraka na unaweza kupotezea nchi mapato-
  17. PRODA LTD

    Ushauri: Kila mwanamke ambaye nasex naye baada ya muda ana ujauzito

    Naitwa Juma Pombe Maharage kwa nipo Kagera kikazi kuna jambo moja linanisumbua sana naombeni ushauri wenu nimekuwa kwenye mahusiano ya kipenzi sasa zaidi ya miaka saba lakini jambo limenishangaza ni kwamba kila mwanamke ambaye nalala naye na kufanya naye mapenzi baada ya muda mfupi wananiambia...
  18. PRODA LTD

    Serikali inapoteza kodi bilioni 6 kila mwezi kwa kuzuia uuzaji wa viroba!

    Serikali ya Tanzania inapoteza kodi ya sh. bilioni 6 kwa kila mwezi kwa kuzuia uuzaji na uzalishaji wa viroba bila kufuata. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzuia uuzaji na uzalishaji wa viroba nchini wafanyakazi zaidi 600 wamepoteza ajira. Wafanyabiashara zaidi 100 wamepata hasara kubwa...
  19. PRODA LTD

    Rais umesema hupangiwi unaamua mwenyewe, sasa hawa mawaziri ni wa nini!? Na wabunge wanaenda kufanya

    Najiuliza sanaa!! Mh.Rais umesema hupangiwi unaamua Mwenyewe, sasa hawa mawaziri ni wa nini!? Na wabunge wanaenda kufanya nini bungeni!!? Wakati watakacho panga kama watunga SHERIA hutakifuata!!...
  20. PRODA LTD

    Chanzo kikubwa cha baadhi ya matatizo tuliyonayo leo kinaweza kuwa ni maneno tunayopenda kuongea?

    . Chanzo kikubwa cha baadhi ya matatizo tuliyonayo leo kinaweza kuwa ni maneno tunayopenda kuongea ongea? Unaweza kuwa unapambana kweli kwenye ndoa yako ila mambo hayaendi. Au unapambana kweli kuwatoa baadhi ya watu moyoni mwako ila umeshindwa. Au vitu kwenye maisha yako haviendi tu vile...
Back
Top Bottom