Search results

  1. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    mafisadi yamejaa huko CCM wameshindwa kupambana nao
  2. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    sheria ambazo zimetungwa na wabunge wa CCM nimemlinda Raisi hawawezi kushtakiwi akiwa madarakani hata atapoachia madaraka ndo maana dikteta uchwara anavunja sheria anavyotaka
  3. PRODA LTD

    Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?

    Raisi anatakiwa kwenda kutubu kutokana na matendo yake ambayo amefanya
  4. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Msando ndo ameteuliwa na chama kujibu hizi hoja
  5. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    pole sana kwa kuamua kuwa kwenye chama ambacho kinaongozwa mtu ambaye hashauriki wala kufuata sheria leo Tundu Lissu yupo kitandani amepigwa risasi watu wasiojulikana kosa lilikuwa ni kusema ukweli ndege Bombadier yetu imezuia Canada kwa sababu ya madeni
  6. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Kwenye biblia,hakuna utawala na Binadamu waliomuacha au kumuasi Mungu wakaishi vizuri mpaka mwisho. Mungu aliwaacha na kuwaadhibu. Mnaposhauriwa kutubu ni kwa nia njema tu,sababu utawala huu hakika hauna Mungu
  7. PRODA LTD

    Ni aibu kiongozi wa dini kuitupa injili na kutumika kisiasa

    kaanzishe mada yako kuhusu Pengo
  8. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    mwambieni Mwenyekiti wenu anatakiwa kwenda kutubu mapema kama ambavyo ameshauriwa na viongozi wa dini kiburi kitampeleka pabaya
  9. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Raisi ameenda kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwao chato bila kufuata utaratibu
  10. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    utafiti ulikuwa unaonyesha CCM inapendwa na watu wasiokuwa na elimu
  11. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    CCM imejaa wapiga dili akina Chenge, Tibaijuka, aliyehonga nyumba za serikali kwa hawara zake
  12. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    hawa watu wa sisiem wana laana. Huu utawala umezidi kupata Raisi wa ajabu haijawahi kutokea duniani
  13. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Huyu dikteta anatakiwa kukemewa na viongozi wote
  14. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Huyu dikteta anatakiwa kukemewa na viongozi wote
  15. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Hilo kundi la wapiga dili, unaweza kututajia japo wachache wanaoliunda? Katika hilo kundi, ni nani wanawatumia watu wenye image na influence, na hao watu wenye image na influence ni akina nani? Kuteka watu, kufungia magazeti,kukandamiza demokrasia, kuendesha nchi kwa familia yake, kuongoza nchi...
  16. PRODA LTD

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    CCM haina viongozi wenye uwezo wa kujibu hoja kwa hoja zaidi hao waropokaji. Kuhusu washauri huyu mtu alishasema hadharani hana mtu wa kupangia hashauriki kabisa
Back
Top Bottom