Search results

  1. P

    Msaada mwenye ufahamu zaidi ktk biashara ya saloon ya kiume.

    Biashara ni nzuro sana coz haina hasara. Japo wakati wa kuanza inahitaji mtaji wa mkubwa kidogo.
  2. P

    Msaada mwenye ufahamu zaidi ktk biashara ya saloon ya kiume.

    Vifaa vya aina gani ulivyonavyo mkuu?!! Kama vipi tuwasiliane
  3. P

    Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

    Mdogo wangu Mwampamba mbona unajizalilisha hivyo Mjenzi?! Kama sio Hambaku bwana acha mambo hizo dogo waachie wenye unafiki wao.Unanisononesha sana mdogo angu.
  4. P

    Mtela Mwampamba kuanika ukweli kuhusu Masalia na muasisi wa PM7 leo tar. 21-1-2013, EATV (Hot-Mix)

    Mkuu Ganzi anataka kutuletea unafiki wake leo,kipindi tupo chuo jamaa nilikua nampa big up sana na ndo maana kwenye kampeni zake nilimpa sana support kubwa kule jimboni kwetu bt baada ya kujua unafiki wake hata kumuona ctaki maana kule jimboni nami wataniona mwehu kama yeye
  5. P

    Mtela Mwampamba kuanika ukweli kuhusu Masalia na muasisi wa PM7 leo tar. 21-1-2013, EATV (Hot-Mix)

    Mkulu te mkwelengusu welele(sio mjinga tu) bali ni mwehu pia nisha mwambia kama anataka kupoteza muda wake basi arudi tena jimboni Mbozi mashariki kugombea,nijuavyo mimi wananchi wa mbozi mashariki(Mlowo,vwawa,nambinzo,ndolezi,mlangali,itaka,halungu,mahenje,myovwizi,ihanda) na kwingine kote...
  6. P

    Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    Mwampamba we hapukupuku hajaha!!Samahani nilitaka tu kumfikishia ujumbe kwa lugha ya kwao! MWAMPAMBA nakufahamu vyema sasa,mara baada ya kuuza ushindi wa CDM kule mbozi mashariki nilifanya kazi kubwa ya kukusafisha kwa niliamini huwezi fanya ujinga ule kumbe la hasha nilijichora tu kwa wananchi...
  7. P

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Mchange, Zitto, Juliana Shonza, Mtela Mwampamba ni wanafiki wakubwa kwa hoja 2 kuu; 1. Mchange, hii story umetunga na kuiunga unga tuu, haiwezekani mtu anayetaka kukua kwa ajali ya gari afungue tairi ya nyuma ya gari wakati anajua kwa kufanya hivyo huwezi kupata ajari mbaya inayoweza sababisha...
  8. P

    Kijana aliyeisambaratisha CCM jimbo la Mbozi Magharibi, ahamishia majembe Mbozi Mashariki

    vizur kama kweli una moyo wa dhati kuwakomboa walima kahawa wa mbozi.Ushauri wangu onana na mwampamba(Ganzi) kwani aligombea 2010 na alitikisa sana mbozi mashar nina imani yy atakua anajua vizuri maeneo yepi ni magumu kwa mfano kata ya Itaka,nambinzo halungu,Isansa,Igamba na Iyula kata zote hizo...
  9. P

    First Lady umesahau ulikotoka?

    Ni kweli elimu kuna watu wamesoma sana lakini kumbuka waalimu wa shule za msingi ndio wengi na wengi wao hawana sifa za kuwa waalimu.Mimi ni mwalimu kwa kitaaluma(UDSM) sikumbuki kama nilifundishwa kuogopa kudai haki zangu!!Waalimu wengi ni wanafiki na waoga ndo maana hadi leo siutaki huo ualimu!
  10. P

    Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    Ndugu W.J.Malecela Salamu "LUGHA SAHIHI SI KIGEZO CHA KUWA NA FIKIRA SAHIHI".Ninamaana kutumia lugha unayodhani ni bora zaidi ya nyingine haina maana ndo itakayokufanya uwe na mawazo mazuri kama watu wenye lugha hiyo bali mawazo mazuri hutokana na uwezo binafsi wa mtu katika kuchanganua mambo...
  11. P

    Heche anawasaliti Tarime mara ya pili?

    Aibu sana kwa mwana chuo tena eti chuo kikuu!!kuandika thread ya namna hiyo. 1.nashindwa kujua alifika fika vipi chuo kikuu mtu huyu((labda kwa kuwa amesema anasoma Udom chuo kinachochukua watu wenye alama za chini japo sio wote.) 2.Uandishi wake haukidhi vigezo vya kuonyesha mwandishi ni mtu...
  12. P

    Yaliyojiri kwenye mazishi ya Sumari

    Duuuu!!!hiyo ya kakaa kimya yy nimeipenda mkuu
  13. P

    Picha: Ibada ya kumuaga Regia Mtema iliyofanyika Tabata

    Special thanks kwako The Finest pamoja na wanaJF wote mliotwakilisha tuliombali.Inaumiza sana kumpoteza Regia,namuonea huruma pacha wake,wazazi wake,ndugu zake wa karibu na hata rafiki zake,najiuliza kama mimi niliyemfahamu hapa JF nimeumia hivi Je hawa watajwa hali ipoje kwao,hapana inaumiza...
  14. P

    Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

    mkubwa nashauri hiyo thread ingewekwa juu kabisa maana mi nimejaribu kuitafuta lakini sijaiona,au weka link yake ili tupate namba zinazotumika tafadhari
  15. P

    Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

    naunga mkono kwa asilimia mia.UMmewa suala la msingi mkuu.Asante
  16. P

    Farewell-Kwaheri Regia: A Tribute Page

    Inaumiza sana kumpoteza dada mstaarabu kama Regia,sikumfahamu kwa kuonana nae zaidi ya michango yake na maada zake za dhati hapa JF. Machozi yananitoaka kila nifikiriapo kua sitoyapata tena mawazo yake wala kuona akileta maada,update za mikutano ya chadema.machozi yananitililika. Nawapa pole...
  17. P

    Regia Mtema is No More!

    RIP Regia,Sikukufahamu kwa kuonana nawe lakini nilifahamu busara na hekima zako kupitia JF,hasa ulipokua ukichangia na kuanzisha maada zenye mashiko na zilizoonyesha juhudi zako katika kulikomboa taifa hili.Machozi yananitoka nionapo picha yako.
  18. P

    Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

    Inaumiza sana kupoteza dada mwenye busara kama Regia,Japo sikumfahamu kwa kuonana nae ana kwa ana lakini busara yake na hekima aliyokua nayo ilinifanye nimheshimu na kumsikiliza kila aongeapo/aandikapo maada JF.RIP Regia wanaJF,tumepotelewa na Mtu mhimu sana hasa nikikumbuka juhudi zake katika...
  19. P

    Regia Mtema is No More!

    Mungu wanguuu!!! May her soul RIP.Regia umetutoka wakati bado twakuhitaji katika wakati huu mgumu kwa Taifa letu.IMENIUMA SANA KWA KUMPOTEZA MTU MAKINI NA SHUPAVU
Back
Top Bottom