Search results

  1. Y

    Pitieni hapa tumshauri dogo akichanganya na zake apate jibu sahihi

    Nawasalim kwa upole wa kwarezima wakuu. Nina mdogo wangu kutoka family friend ambae tumekua nae tangu tukiwa wadogo,Mungu amemjaalia mpaka sasa akahitimu diploma yake ya General Agricultural. Lengo lake na matamanio yake anatamani afike SUA kuchukua course ya Agricultural Economic and...
  2. Y

    Tetesi: Kiwanda kipya cha sigara,Kingorwila Morogoro ukweli ni upi?

    Salaam wanabodi..... Niende moja kwa moja kwenye Maada ya swali hili,Kiwanda kipya cha sigara Kingolwira Morogoro kilitoa nafasi za kazi tangu mwaka jana mwezi wa nane. Pamoja na ukimya wote ule lakini juzi kapita mweshimiwa Rais Magufuli kuweka jiwe la msingi na kuruhusu rasmi kiwanda kufanya...
  3. Y

    Ugumu huu wa maisha Mikumi nini chanzo?

    Wakuu niwape salaam kwa utanashati na nidhamu iliyotukuka, Nimekuwa rafiki sana wakutembelea huu mji mdogo wa Mikumi kwa mda mwingi sana lakini mda wote huo nimejaribu kujiuliza maswali mengi bila kupata ufumbuzi nayo nikama ifatavyo; 1.Bei ya chakula ipo juu sana hasa mama ntilie na madukani...
  4. Y

    Msaada wa swali! Ni kipindi gani rafiki kwa kutotoresha vifaranga by kuku?

    Kherini ya mwaka mpya wapendwa! Bila kupoteza mda na kuwachosha kwa Maneno meengi,naomba msaada wa majibu ya swali hapo juu,hii ni baada ya kupoteza mayai yangu kwa awamu mbili mfururizo,mwanzo niliambiwa pengine yalitikisika kipindi cha kusafirisha nikaona isiwe tabu,nimepeleka mengine kituo...
  5. Y

    Mliowahi kushiriki interview za kada ya kilimo (written & oral) tupeni japo mwanga kidogo!

    Wakuu habarini za majukumu. Kama Maada inavyojieleza hapo juu,kwa waliowahi kuhudhuria usaili wa kilimo iwe kwa kuandika au kwa mahojiano ningeomba atupe japo mwanga kidogo huku,nisiwachoshe sana na Maneno! Natumaini nimeeleweka,Mungu awabariki nyote!
  6. Y

    Vyeti vya Elias Jonas Samson vimeokotwa Msamvu stand ya mabasi Morogoro

    Wanabodi nisiwachoshe sana,Salaam? Kuna ndg anaitwa Elias Jonas Samson vyeti vyake vimeokotwa msamvu stand ya mabas morogoro O.level amesoma st peter,A.level amesoma Nyegezi seminary,na chuo amesoma mwenge chatolic university Diploma! Kama atakuwemo humu ndani tafadhali ajitokeze au kama...
  7. Y

    Naomba ufafanuzi juu ya hii shahada mpya ya sayansi ya kijeshi.

    Wakuu salaam! Bila kupoteza mda nimeona kwenye taarifa ya habari kuwa serikali Imezindua shahada ya kwanza ya sayansi ya kijeshi! Je ni sayansi gani hii? Naomba kwa wanaojua anijuze na mimi nitoke huku gizani! Chanzo ITV
  8. Y

    Kwa waliopo mikumi mjini, maisha ya huko yakoje?

    Nawasaalim wakuu wa kijiwe! Bila kupoteza mda ningependa kwa yeyote aliyopo mji huu anijuze yafuatayo! 1 chumba cha kuishi kwa mwezi garama bei gani. 2 maisha yapoje huku maana sijawahi kuishi hii sehemu 3 mtaji wa laki saba naweza kudunduliza biashara gani 4 Kilimo kinawezekana hii sehemu...
  9. Y

    Msaada: Tawi la ofisi za NACTE mkoani Morogoro.

    Nawasaalimu wote kwa ujumla! Bila kupoteza mda naomba kufahamu kama kuna tawi la office za NACTE mjini morogoro, mwenye kufahamu mahali office zilipo anijulishe. Mungu awabariki ninyi nyote!
  10. Y

    Niliyomshauri Mdogo wangu akapuuzia,Wadau njooni mniambie wapi nilikosea!

    Salaam Wakuu! Ninamdogo wangu wa kiume amemaliza chuo ngazi ya diploma mwaka jana,(General Agricultural) mambo ya Kilimo na ufugaji. Baada ya kumaliza nilimshauri mengi kutokana na tatizo la ajira kwa sasa ikiwemo kujiari,hasa ukizingatia alichokisomea kinampa nafasi kubwa kuweza kujiajiri...
  11. Y

    Nauza matikiti yapo tayari! Mwasonga kigamboni

    Salaam Ndg,Jamaa,na Marafiki,Natangaza biashara ya matikiti maji yapo tayari shamba lipo !mwasonga,Wilaya ya kigamboni,hakuna tabu ya usafiri gari linaingia mpaka shamba ni karibu na barabara kabisa ile ya kwenda kiwanda cha cement, Ukubwa wa eneo nusu eka,kuna matikiti makubwa 152 yenye kuweza...
  12. Y

    Mateso haya mpaka lini?

    Wanabodi nawasalimu kila mmoja kutokana na umri wake, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nilizaliwa nikiwa mzima bila ulemavu wowote mpaka naingia kidato cha nne ndipo nikapata tatizo la kutosikia vizuri,tatizo hili limenitesa sana mpaka leo nimeishi maisha ya chuo kwa shida sana hasa...
  13. Y

    Mteja wa mananasi anatajika.

    Habarini ndg zangu.hongereni na majukumu. Ninatafta mteja wa mananasi yatakuwa tayari bada ya wiki moja. Mahali yalipo ni bagamoyo yeyote aliye tayari aje PM karibuni. Namba yangu ya simu 0676494828.
  14. Y

    Natafuta kazi

    Nipo kilosa natafuta kazi jamani Elimu yangu diploma in general agriculture.mungu awabariki.
  15. Y

    NATAFUTA KAZI

    Habarini wanandugu Natafuta kazi kwa yeyote yule iwe mtu binafsi au kampuni elimu yangu ni DIPLOMA IN GENERAL AGRICULTURE.natanguliza shukurani.
Back
Top Bottom