Search results

  1. Z

    Msaada: Mtoto hataki kula

    Msaada please mtoto hataki kula kabisa zaidi ya kunyonya. Ana mwaka na miezi 7 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Z

    Nahitaji kujuwa bei ya engine isz

    Wadau nilikuwa nahitaji kujuwa bei ya engine ya vitz 1sz mpya am a half engine(mswaki)
  3. Z

    Alama hii inamaninisha nini?

    Wadau leo ahsubuh nimewasha gari langu imetokea sign hiyoo kwenye dashboard inamanisha nn please
  4. Z

    Msaada anayejuwa unywaji wa mafuta alteza

    Wadau nilikuwa naomba msaada mtu anayejuwa alteza 4 inakulaje mafuta
  5. Z

    Vitz or starlet

    Nina visent kidogo nataka ninunue gar but machaguo yang ni vitz na Starlet but kwa mwenye uzoefu na hizo gar anisaidie ipi ni bora
  6. Z

    Nahitaji kujua chimbo la simu za jumla

    Wadau nahitaji kujuwa wapi chimbo la simu kwa Bei ya jumla
  7. Z

    Samsung inch 55 Miln 1.4

  8. Z

    Nahitaji soko la dagaa uono

    Wadau nahitaji kujuwa soko la dagaa uono waliyokwisha anikwa(dagaa wa baharini)
  9. Z

    Kutoka vijidamu kwa msichana mwenye mimba changa

    Wadau nilikuwa nauliza kutoka vijidamu kwa msichana mwenye mimba changa Nini tatizo!!
  10. Z

    Natafuta mashine ya kukuna nazi

    Vipi wadau, kama kuna mdau anayejuwa mashine za kukuna nazi zilipo nahitaji. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Z

    Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

    Kati ya jiji la tanga na mbeya lipi kali kimazingira,sehemu za starehe,miundombinu shortly kila kitu
  12. Z

    Kupata Hedhi muda mrefu ni tatizo gani?

    Ningependa kufahamu msichana kupitiliza hedhi kwa mda mrefu na kiuno kuuma sana na maziwa kuuma kujaaa ni dalili ya nn naomben ushauri wadau
Back
Top Bottom