Search results

  1. A

    Nini maana ya coolant na inter cooler kwenye gari?

    Shukrana kaka mungu akuzidishie maarifa,nilipokua naona macopolo nikawa nahis labda kuna kitu kimezidishwa kaka
  2. A

    Nini maana ya coolant na inter cooler kwenye gari?

    Kaka namm naomba kujua macopolo maana yake ninn maana nimeona scania nyingi san zimeandikwa makopolo
  3. A

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Pascal nakuheshim sana ww huwa nimtu makin lakin kwahili nahis utaangukia pua kwan mkakati unaotumiwa kwasasa na serikal hautambakisha mtu nakama huamin maneno yang tusubiri muda utasema,,,
  4. A

    CHADEMA wachukua Fomu za Kugombea Ubunge Majimbo Mawili. Salum Mwalim Juma (Kinondoni) na Elvis Christopher (Siha)

    Yaan serikal imtoe mtulia cuf imelete chama kubwa halafu isisimamie ushindi wake!!!kwel chadema hawana akili yaan hata hili mmeshindwa kuliona mtamjua makonda ninan nchi hii kama mnyeti na gambo waliwafanya kitu mbaya arusha subirieni makonda kitu anaenda kuwafanya
  5. A

    Kama kweli mkoloni apaswa kulaumiwa kwa umasikini wa Afrika, basi Liberia na Ethiopia zingekuwa "Developed countries"!

    We unasema africa wakat china india brazil marekan nanchi nyingi2 ambazo leo hii zimepiga hatua mbona zilishatawaliwa,,?
  6. A

    Viongozi 10 wa CHADEMA wakamatwa na polisi

    Hakuna mwingine aliechoma ni watu wachadema nakama ingechomwa ya chadema lazima ingekua ni ccm wamechoma huo ndo ukwel
  7. A

    Tundu Lissu bila Team Lowasa ni bure!

    Ukitaka kujua chadema hawana shukran tizama wanavomchukulia mzee wetu baada yakwenda ikulu.tumechukia sana sasa subirin ile sapot kama mtaiona tena pumbaf
  8. A

    Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

    Mshana,,nimtu makin sana ila kwahapa ameweka unazi dhahir.
  9. A

    Hivi CHADEMA kuna Demokrasia kweli? kama hakuna hata Mabadiliko ya Mwenyekiti!!!

    Mleta mada watu humu wanataka umtukane rais nakumkashifu ndo utaonekana unaakili.ila ukitoa maon yako watakutukana,,humu wenyewe hawana huru wamaon wanaudikteta nayote hii wamefundishwa namboe.mboe ni killer nahalitapewa nchi linamarienge hailtaona vizur.
  10. A

    Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

    Muro acha kujisumbua nahawa jamaaa,hawa jamaa nimanyubu kama alivosema kitila mkumbo.sio lema2 hatarud hiv tunavoongea hakuna tena chadema yaan huyu magufuli ameipotezea muelekeo hii sakosi
  11. A

    Bundi CHADEMA na Wakati wa Malipo - Lowassa Huyu Huyu?

    Naungana naww kuhusu watu kumuacha lisu peke yake,kwan tangu amepigwa risas ninan alieshika nafas yake? Huyu lema aliewekwa korokoron alivotoka mbona haendelez mapambano? Amenywea tena akiandika ujumbe anaandika kwatahadhar kwel,nan yuko nalisu saiv lisu wawatu amezinduka juz maskin hajui...
  12. A

    Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

    Hakika moyo walowasa niwaajabu sana huyu nizaid yatunavomfikiria nimtu mwema asie naubaya namtu asie navinyongo hakika huyu jamaa mtakuja kumkumbuka
  13. A

    Tundu Lissu kuwekwa kizuizini?

    Huyu atatibiwa huko nje akija nakiherehere chake anakutana nauchaguzi wa 2020 watu wanalichukua jimbo lake kwanguvu anatupwa nje ya kinga zabunge wakati huo ukifika litaongea kama nan sanasana litaishia kufutiliwa mbali.
  14. A

    Kitabu cha Fire and Fury Kumuondoa Rais Donald Trump Madarakani?

    Hiv mshana huwaga unatowa wapi hiv vitu vyako adim namna hii sasa kama hii picture umeitoa wap muarabu wang wasudan
  15. A

    Trump usilie lie na China na Urusi umesahau dharau zako kwa Palestine?

    Saaa kwataarifa yako rudi nyima mpaka mwaka 53 ukaangalie nan aliemsimamisha mmarekan akasalim amri mbele ya mkoeea ndo urud uwadharau china naurusi,
  16. A

    Shida ni Kwamba waliosema Mzee Kikwete ni dhaifu ndio wanasema Rais Magufuli ni Dikteta

    Binadam hata umtendee nini huwa hana fadhila huyu mzee wawatu amefanya mambo makubwa sana kwenye nchi hii ambayo hakuna aliethubutu kuyagusa kikwete alikua anachekacheka2 anaangalia naile miwan yakeeeee halafu anamalizia kwakusema sio zauma
  17. A

    je waislam wanaweza kuishi kwa aman na dini nyingine bila ugomvi?

    Nikwel mm sina elim kwasababu penye wajuzi kuna wajuzi zaid napenda sana kuelimishwa kuliko kuelimisha hata namna unavoniuliza tayar unaonekana nimshar mm sitaki magomvi nataka aman kama jina la uislam lilivo
  18. A

    je waislam wanaweza kuishi kwa aman na dini nyingine bila ugomvi?

    Zipo taratibu zimewekwa kwenye uislam ambazo zimejitosheleza sasa nimtu kwanza aingalie nafs yake.kwasababu mtume alituambia vitakubwa kabisa itakayokuja baada yake yy nivita uamm ya nafs kwasasa nafs kama haijakamilika hapo ndotatizo linapoanzia.kwan hata maamuz ya mtu mchamungu naasie...
  19. A

    je waislam wanaweza kuishi kwa aman na dini nyingine bila ugomvi?

    Swahaba huyu alikua kila akimaliza kuswal swalatu subuhi anaamka haraka anaondoka yaan mtume akitoa salam2 yy anaamka anakimbia anaondoka zake sasa kitendohiki kilisababisha kuonekana kama haji mskitin ikabid siku moja mtume wetu amuulize nikwann haonekan mskitin? Yule swahaba akamwambia mtume...
  20. A

    je waislam wanaweza kuishi kwa aman na dini nyingine bila ugomvi?

    Laiti kama waislam wangeufata uislam aliokuja nao mtume S.W.A.kila mtu angeupenda uislam.tatizo nikwamba waislam wameacha maadili yauislam. Nitaelezea kisa kimoja ili watu wajue ninamna gan uislam ulivokamilika kilichobaki niwaislam2 kumuigiza mtume wetu namna gan alivoishi nawaliokua sii...
Back
Top Bottom