Weka akiba ya maneno. Magufuli alikuwa na majitambo kama haya. Leo siku ya pili yupo ndani ya kaburi. Ila hesabu za CAG inaonesha ameikagua pia CHADEMA. Chama mfu kinakaguliwa mahesabu yake?
Tangu mimi nakua hapo Jangwani kila mwaka panatokea mafuriko na hawawezi kufanya chochote. Halafu hawa ndiyo watu wanaota watatupeleka kwenye uchumi wa viwanda...labda uchumi wa viwanda vya kufyatua watoto
Halafu mtu mshipa umemtoka anataka kupambana na USA. Pambaneni kwanza na mafuriko hapo...
Haya ndiyo mambo ccm wanayopenda kuongelea. Nchi imewashinda sasa wanataka kilimo cha bangi kihalalishwe ili vijana wavute bangi October waichague ccm kwa akili za kibangi bangi
Magu lazima awatose Wapalestina. Hilo linajulikana mbona. Wayahudi ndiyo wamempa mitambo ya kudukua na waziri wao wa Ulinzi ndiye alikuja kukamilisha deal
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.