Search results

  1. H

    Atheists tulionekana wa ajabu sana!

    Hii Hospital moja tu pale Dom haitoshi kwa Watanzania kama tutajadili mada hii Pendakezo langu ziongezwe ziwe Kane 5 hivi tupelekwe. Tukirudi naamini mjadala utakuwa mfupi sana
  2. H

    Pikipiki inauzwa 1.1M

    Naomba no yake ya kwanza kabla hujabadilisha
  3. H

    Huyu Pogba wetu ni hasara tu

    Mlichanga ngapi ngapi ili asajiliwe?
  4. H

    Ushauri: Amekuwa muwazi sana kuongea juu ya mambo yake kwangu

    Akikusimulia ya kule na yako anasimulia kwingine. Huna la kusifia hapo
  5. H

    Mpenzi! Leo mi sijisikii....

    Kwani alishakwambia anakupenda wewe????
  6. H

    SWALI: Mkoa gani Tanzania ni mzuri kwa kuishi?

    Hata alliyeuliza hajitambui alipo ndipo panamfaa
  7. H

    Nauza cm iphone

    Mnapenda kuvuruga biashara za wenzenu!!!!!!!
  8. H

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Hii mchine ya mayai 42 inakuja inatolewa na accessory gani zaidi?
  9. H

    Daktari natafuta kazi

    Piga 0786112741 kazi ipo yakukufaa kama inafaa
  10. H

    Laini ya uwakala M Pesa inauzwa

    Jina naumiliki inakuwaje?
  11. H

    Nanunua injini ya landrover au Pajero

    Toa na offer basi
  12. H

    Ufugaji gani unalipa; Kuku, Bata, Batamzinga ama Khanga?

    Nami napenda taarifa hizo Mbona wanaojua mnatinyongea?
  13. H

    Kwa watumiaji wa Zuku TV

    Tatizo la Zuku ni dogo tu . Hawaendi na wakati katika vipindi vyao. Utakuta channel inaonesha kipindi kinachoendelea ni vichekesho lakini kinachoonekana ni dini sijui hawana mratibu wa vipindi inaudhi sana
  14. H

    Inakuwaje basi la mkoani kuwa na kunguni

    Shugjilikieni chanzo cha kunguni na mende sio safari zao
Back
Top Bottom