Search results

  1. kyagata

    Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

    Huwa nikiiangalia mbeya ilivyo..nabaki kusikitika tu..siasa na viongozi wabinafsi kama hawa ndio wanaudidimiza huu mkoa..leo mbeya huwezi ilinganisha na Dodoma au morogoro.
  2. kyagata

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Next time likikufungia njoo ulale kwangu
  3. kyagata

    Je, ni sahihi mambo haya kufanywa na wanandoa?

    Namba 4 ni sahihi
  4. kyagata

    Ulishawahi kuwa na mahusiano na ndugu wa tumbo moja?

    Tunaishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuwa na vijana wachapakazi kama hawa
  5. kyagata

    Ndugu zangu msomeni huyu mwanamke halafu mnipe ushauri

    Sijaelewa point yako ya kuja kulalamika humu,sasa kama K anakupa nini tatizo lako hapo?
  6. kyagata

    Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

    Bongo bana..hivi kwenye hiyo misiba ni lazima kila mtu aende?
  7. kyagata

    Msechu kutungiwa nyimbo punde!

    Tumbo ka pipa
  8. kyagata

    Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

    Hapa uyole machine ka hizo tunaziiita tandam
  9. kyagata

    Tetesi: Wema kuzindua ghorofa lake Valentine's Day

    Hivi sasa hivi ana hata Mia mbovu kweli?
  10. kyagata

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    Kwa hiyo story kwamba mwamba ameondoka kwa kuwa alikua kaunganishwa na gridi ya taifa inaweza ikawa na ukweli?
  11. kyagata

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    Na bibi yako huko kijijini kwenu alivyofariki ulihuzunika kiasi hiki au ni unafiki tu wa sisi watanzania?
  12. kyagata

    Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    Watu mnadanganyana humu,huyo sijui Doto magari angekua na hizo pesa asingeshindwa kumpa mwanae just elfu 50 pekee ya matumizi kwa mwezi mpaka kaenda kudhalilishwa.
  13. kyagata

    Kwa yeyote anayehitaji Chef nipo hapa

    Una elimu gani mkuu?
  14. kyagata

    Msaada ison bpo ltd registration number toka Brela

    Vitu vingine vinachekesha sana, sasa wewe ulifanya kazi na kampuni ambayo huna details zake?
  15. kyagata

    Natafuta kazi yoyote

    Njoo tulime hapa kibaigwa
  16. kyagata

    Picha kali Ya wiki hii hapa, Imepatikana Kahama

    Tayari simu ya uhamisho ishapigwa,kapelekwa HQ Dodoma kusoma magazeti.
Back
Top Bottom