Search results

  1. kimsboy

    Wanajeshi 18 wa Israel wauliwa na Hezbollah leo

    Naona maji yanazidi kuzidi unga huko Middle East Shambulizi la Hezbollah limeondoka na roho za wanajeshi 18 wa Israel papo hapo na huku makumi wakiwa majeruhi Hii inaitwa kujitumbukiza kwenye kinamasi cha vita. 🚨🇱🇧🇮🇱 HEZBOLLAH statement on ISRAEL BOMBINGS: “After careful monitoring and...
  2. kimsboy

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4 Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu Hezbollah wapo zaidi laki...
  3. kimsboy

    Yemen yaiambia Iran: Tumeandaa wanajeshi laki 4 wapo tayari kwa vita

    [emoji298]️BREAKING The Yemenis have informed Iran that if there is a regional war, more than 400,000 fighters are ready to completely blockade the Red Sea and target US bases in Africa and the Middle East The Yemenis have recruited 200,000 new fighters since the start of the conflict...
  4. kimsboy

    Spika wa zamani wa Bunge Marekani, Nancy Pelosi na wabunge 40 wataka silaha zisipelekwe Israel

    Baada ya wamarekani wenzao kuuliwa na Waisrael huko Gaza sasa ndo wameanza kuujuwa ubaya kuilea Israel Veteran House Representative Nancy Pelosi, former Speaker of the House of Representatives and a key ally of US President Biden, signed a letter sent by dozens of Democrats in Congress to the...
  5. kimsboy

    Itakuaje Iran ikitumia kombora la Hypersonic?

    Masaa yanakaribia, Itakuaje Iran wakitumia makombora ya hypersonic kumbuka lile Kombora sifa yake huwa halitunguliki yana Speed kuliko sauti. Maana nimeona Israel anavyohaha kuweka raia kwenye mahandaki, leo ni siku ya nne watu wamelala kwenye mahandaki kama Panya!! Jamaa wanahaha kuactivate...
  6. kimsboy

    Masaa machache yajayo Mamia ya makombora ya Iran yatatua Telaviv

    Hawa jamaa wanamiliki makombora ya Hypersonic na Supersonic ambayo hata US hana Israel ajiandae kupokea mamia ya makombora kutoka Iran masaa machache mbeleni Pia Iran wanamiliki makombora yenye uwezo wa kubeba mabomu yenye uzito mpaka wa tani 3 Masaa kadhaa dunia inaenda kushuhudia moto...
  7. kimsboy

    US waiambia Iran kuwa hawakuhusika hofu ya kutandikwa na Iran

    Naona mabeberu wameanza kujikuna Marekani ametuma ujumbe wa siri kwenda Iran kuwa hawakuhusika na shambulizi dhidi ya ubalozi wa Iran pia hawakua wakijua chochote na Israel haikuwajulisha kwahiyo Israel iwajibishwe yenyewe!! [emoji298]️BREAKING Iran warned the United States, via the Swiss...
  8. kimsboy

    Nimealikwa Pasaka na rafiki yangu na mfungo huu nitaenda tu

    Ebwanae, rafiki yangu mkubwa na familia yake wamenialika pasaka. Familia yangu na yake ni marafiki sana, hata wake zetu na watoto wanashibana sana kama ndugu vile Kesho kanialika niende Pasaka, huwa namwalika sikukuu zangu anakuja bila shida yoyote ile wala hasiti na tunashiriki vizuri tu...
  9. kimsboy

    Ni sahihi kuwaadhibu wanaokula hadharani Zanzibar. Tuheshimu imani za watu

    Kuhusu watu kuadhibiwa kula hadharani ZANZIBAR hilo naliunga mkono.Imani za watu ziheshimiwe Unajua nashindwa kuelewa watu wanatokwa na povu kwa suala dogo kama hili kwani haswa wakati taratibu za wenzetu zipo wazi? ZANZIBAR hakuna aliyelazimishwa kufunga ispokua utaratibu wa kule unakataza...
  10. kimsboy

    Mtu akiwekewe mafuta taa masikoni ni kweli hufariki papo hapo?

    Nimesikia mahali kuwa mafuta taa ni sumu ya hatari sana kwamba mtu akimiminiwa ndani ya masikio hata dakika 5 hamalizi ngoma za masikio hupasuka na kufariki papo hapo. Je, ni kweli?
  11. kimsboy

    Ukiambiwa Ubungo, Kimara, Mbezi hadi Goba palikuwa kwa Wazaramo hutoamini

    Ukiambiwa Ubungo, Kimara, Mbezi hadi Goba palikuwa kwa Wazaramo hutoamini wazaramo waliendaga wapi? Ukiambiwa Ubungo yote hadi Kibamba paliwahi kuwepo wazaramo hutoamini Makongo juu hadi Mbezi Beach na Mikocheni na Mlimani ukiambiwa paliwahi kuishi watu wanaoitwa Wazaramo utakataa kukubali...
  12. kimsboy

    Mwili wa mwanajeshi wa US waokotwa Yemen pwani

    Pwani ya Yemen limeokotwa gaidi la kimarekani Citizens in the Al-Tuhayta district of Al-Hodeidah governorate have discovered the body of an American soldier on the beach. Tayari Yemen wameifanya pia bandari ya Eilat ya Utawala wa kizayuni kushindwa kufanya kazi uharibifu kwa asilimia 50%...
  13. kimsboy

    Mwanaume kufa uume ukiwa umesimama na mwanamke kusex na mfu!

    Mwanaume kufa uume ukiwa umesimama na mwanamke kusex na mfu. Kuna huu utamaduni kufa uume ukiwa umesimama na kwa tamaduni fulani inasemekana hawezi kuzikwa hadi mkewe (mjane) asex naye ili uume upate kulala Haya mambo ni ya kweli?Nimeskia hizi habari nikashangaa sana.
  14. kimsboy

    Shirika la Marie Stopes linaeneza ushoga na kuwatoa wanafunzi mimba

    Hivi hili taifa lina usalama au serikali kweli? Hili shirika linasambaza ushoga kupitia kugawa vilainishi, Spray na dawa za ajabu ajabu. Imekua ni clinic ya mashoga na wasagaji wakifundishwa njia za kufanya huo uchafu wao Kibaya zaidi wameingia mashuleni kuna wasichana wengi tu wadogo wa...
  15. kimsboy

    Miaka 3 ya kifo cha Magufuli: Haya ndiyo mabaya yake katika utawala wake

    Miaka 6 ya utawala wa Mwendazake ilikua ya Machozi, Jasho na Damu kwa Watanzania. Haya ni baadhi ya matukio niliyoyakumbuka kwa haraka, baadhi yalitokea nikiwa huko nyumbani na mengine yametokea nikiwa nimeshaondoka. 1. Alizika uhuru wa vyombo vya habari na kutia saini sheria kandamizi kwa...
  16. kimsboy

    Mambo aliyoyafanya Hayati Magufuli ambayo yatabaki kama alama ya kukumbukwa milele

    KUMBUKUMBU YA KIFO CHA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI (JPM) JPM hakupenda kusafirisafiri Nje ya Nchi na hakupandisha Gharama za Maisha kwa Watanzania! JPM ameweka REKODI kwa kutufanyia mambo makubwa sana Watanzania katika muda mfupi sana! Hebu tukumbushane mifano michache. 1. JPM anajenga Reli ya...
  17. kimsboy

    Kifo cha Hayati Magufuli ni utata mtupu, kila kiongozi anasema lake. Kulikuwa na uzembe

    Kila mtu anaweza kuwa na mema yake au mazuri yake lakini kwa kumbukumbu ya kifo mpaka anakuja kukata roho mwendazake alipitia mateso makubwa sana. Mimi kinachoniumiza zaidi ni unafiki, na uzandiki kwa hao waliokua wanajidai wanampenda JPM kumtelekeza na hata kushindwa kumlinda na kumuacha afe...
  18. kimsboy

    Kichekesho juu ya kinachoitwa SGR nchini tumepigwa zaidi ya bilioni 500

    Kichekesho juu ya kinachoitwa SGR nchini tumepigwa zaidi ya bilioni 500 Kwanza kuna aina 3 au 4 za reli kulingana na gauge/geji.....1.Broad gauge, 2.Metre Gauge, 3.Narrow gauge, and 4.Standard gauge...Hizi reli zetu tulizonazo humu na Africa tokea mkoloni ni Meter Gauge (MGR) ....SGR hyo...
  19. kimsboy

    Kuna mchezo unachezwa TANESCO. Wahusika ni vigogo wakubwa sana!!

    Naanika huu uozo hapa najua kuna usalama wa taifa ambao ni wazalendo au watu wa kwenye system wana uchungu na hii nchi.... Kuna hujuma zinafanywa kwa maagizo ya wakubwa fulani ipo hivi... Wanatengeneza tatizo kisha wanalitatua Mfano Kuna hujuma hapa juzi usiku mmoja transforma zaidi ya 10...
  20. kimsboy

    Nadhani hakuna kipindi umeme ni tatizo kama sasa

    Nyumbani kwangu ni siku ya pili leo taa haziwaki, friji haliwaki kabisa,AC inajiwasha na kujizima, even feni zinatoa upepo mdogo kwasababu ya umeme mdogo!! Umeme umekua mdogo kiasi kwamba kitu kinawaka hapa ni tv na redio tu Sijawahi kuona majanga kama haya, hali ya umeme ni mbaya sana nchi...
Back
Top Bottom