Search results

  1. Baba wa Mapaka

    MHE. DKT. ALICE KARUNGI KAIJAGE, Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9.

    Kwa mtu kama mimi sijawahi kuelewa maana na makadirio ya bajeti ... kwa ujumla tumezoea kuandaa bajeti ili kupima makadirio na matumizi ila hatujawahi kuona serikali ikituonesha matumizi ya bujeti iliyotenga na kilichobakia zaidi tunaona tu makadirio ya bajeti ... By the way sio mzuri wa...
  2. Baba wa Mapaka

    Swali kwako mke unayefanyakazi na kipato chako hakionekani!!

    Umekwepa kiini cha swali au mtazamo wake ... kwamba hana time na familia na pesa yake haina mchango kwa familia....mie namshauri ampandishe dada wa kazi cheo japo atakayopitia ni mazito
  3. Baba wa Mapaka

    Imebidi nihamie kwangu ghafla kumkwepa mdada kausha damu

    Namba badilisha kuna siku utatamani vibe zake kitandani utamtafuta tu hasa ikiwa siku mmekojozana akafuta kwenye kitambaa ogopa
  4. Baba wa Mapaka

    Ukisikia kula tunda kimasihara ndiyo hii sasa!!!

    Hujawahi kushikwa na mtu hamjuani?
  5. Baba wa Mapaka

    House4Sale House for sale at Kibaha Mlandizi

    Mkimaliza kubishana mje kuuliza sisi wa Kibaha
  6. Baba wa Mapaka

    UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Niko serious kwenye hili muislam aliyeshiba dini <35yrs aje nafasi nje nje
  7. Baba wa Mapaka

    Rais Samia: Wananchi muache kuwachagua wanaowapa khanga na hongo hao sio wawajibikaji

    January Makamba - Bumbuli tangu 2010 hakuna jipya
  8. Baba wa Mapaka

    Nataka kisingizio cha kuondoka kwa mpenzi wangu

    Njoo nikuchepushe ili akigundua aondoke
  9. Baba wa Mapaka

    Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

    Daah umemtangulizia mkuu Huoni hazeeeki
  10. Baba wa Mapaka

    Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

    Kesha retadi ingekuwa uarabuni hukumu yake ingekuwa upanga
  11. Baba wa Mapaka

    Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

    Mwngine yepi..! Isitoshe ana tatuu je, azitoe kwanza ndipo aokoke au bora liende?
  12. Baba wa Mapaka

    Naomba ushauri: Rafiki yangu ana tabia ya kutongoza kila binti ninayekuwa naye kwenye mahusiano

    Mimi pia imenifikirisha huenda si kweli Yaani hi nanba ya rafiki inafikaje kwa watu wako (wife material) huwa ni mali binafsi sasa tuambie imekuaje hadi wanawasiliana au unamuachia simu yako?
Back
Top Bottom