Search results

  1. Rweye

    Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Hawa aliwawakilisha wanawake na Samia anawawakilisha wanawake wote maana wote ni wanawake. Dunia ya wakubwa hawaamini katika kuongezea na wanawake anzia Washington hadi Piong yang
  2. Rweye

    Tuendelee kuwaamini wanawake ktk uongozi ?

    Vi nchi kama vyenu visivyokuwa na malengo yoyote hapa duniani ndo wanaamini eti mwanamke anaweza akawa kiongozi nyanja za juu
  3. Rweye

    Tanzania ya Magufuli ilikuwa ya Viwanda. Je, Tanzania ya Mama ni ya nini?

    Mipasho tu taarabu na maneno chungu mbovu, matendo kijiko. Kwenye implementation mama ana 0%, usimamizi ana 0% mipango ana 10%. Na bado anaitaka Ikulu. Ikulu ni pagumu sana si kwa kila mja aende Ikulu, iachwe kwa wanaoweza na vipawa vyao
  4. Rweye

    Rais Samia alishabadili namna ya kusalimia, mbona huwa hatung'amui mambo haraka!

    Kaka mkubwa hapa naona unatumia Nguvu nyingi sana kwa mambo ya kawaida sana. Salaam kubadilika na kutokubadilika mie binafsi kusema kweli sioni mantiki, pengine ungetuamsha watanzania tuamke na tutafiti ni kwa nini ..." Kazi iendeleee.."? Hapa pangekuwa na maswali mengi hypotheticals na...
  5. Rweye

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha ("A" Town u Chuga)

    Kumbe mtu mwenyewe wa hivyo! Na una harufu za ukanda na ukabila kwa kitupi kabisi una ka ubaguzi. Mtu kama wewe huwa hanipotezeagi mda wangu, wewe mwenye kujua sana endelea na thread mkuu
  6. Rweye

    Rasi Samia: Kuanzia Sasa anayevurunda kazini akae Pembeni

    Rest In Peace JPM! Walijitahidi kukuzodoa na kukukashfu eti ulikuwa unatumbua sasa naona na wao kumbe wanatamani ila wanahofia walishatamka hadharani kwamba haukuwa sawa kuwaweka mizigo pembeni. Sasa je, watakuiga? Na wakikuiga watakubali kwa bingwa vyao ulikuwa raisi wa maono? Kimsingi mama...
  7. Rweye

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha ("A" Town u Chuga)

    Mji wa Mwanza unanijenga wenyewe na kwa kiasi kikubwa hakuna mkono sana wa serikali lakini bado inaipita Arusha kwa mbali. Arusha inapata sana ufadhiri wa serikali kwa kisingizio ama kisa kuna utalii ndo utakuta kodi yetu nyingi inapelekwa Arusha, majumba makubwa ya kifahari, mahoteli na kumbi...
  8. Rweye

    Kama hii ni kweli, nchi inahitaji maombi kuliko wakati wowote ule

    Na nasikia wamempa na u dokta, ama kweli Kibaha chajitembeza. Kuwa na kiongozi wa hivi inakulazimu umeze panadol kila siku kwa siku zote anazokaa madarakani. Ila hivi msoga ndo shida mie nadhani watanzania tungebargain namna ya kumalizana na huyu muuaji kwanza alafu ndo tubakie na huyu dokta...
  9. Rweye

    Pwani: Watu wametakiwa kulipia square meter moja kwa sh6,000/= Ili kufidia kile eti kinachoitwa fidia kwa aliyekuwa muwekezaji miaka 30 iliyopita

    Mzee kijana inaonesha hujaelewa kinachoongelewa na pengine umekurupuka huko ulikokuwa ukaitwa na jamaa zako mje kutetea uharamia wenu. Hakuna pahala nimeandika wananchi wanapinga kuingia eneo la muwekezaji maana ukitaka mikoa Tanzania ambayo leo inaonekana ni mikoa iliyokuwa imezungukwa...
  10. Rweye

    Pwani: Watu wametakiwa kulipia square meter moja kwa sh6,000/= Ili kufidia kile eti kinachoitwa fidia kwa aliyekuwa muwekezaji miaka 30 iliyopita

    Yaani ndani ya Tanzania kuna watu wanataabika si masihara hata kidogo. Kilichonishangaza zaidi ni pale wenye kudai hizo pesa wamesimama kwa hakimu wanasema eti eneo lile kuna watu 400 tu na eti wamejenga vibanda tu ndo wanaishi na si nyumba wakati kiuhalisi mle kuna watu zaidi ya 700 na familia...
  11. Rweye

    Pwani: Watu wametakiwa kulipia square meter moja kwa sh6,000/= Ili kufidia kile eti kinachoitwa fidia kwa aliyekuwa muwekezaji miaka 30 iliyopita

    Waziri Slaa tenda wema ikupendeza watembelee wananchi hawa katika mtaa wao utafaidika na mengi sana maana jambo linazidi kuwa jambo
  12. Rweye

    Rais wasaidie wananchi wako Viziwaziwa mkoa wa Pwani

    Tunajua kuna Nguvu kubwa sawa na ile kanuni ya Newton 3rd law of motion maana kila hili likiwekwa hapa wahusika wanajitahidi nao kulizima, moderator mnapaswa kuwa sauti ya wasio na sauti kwa kweli maana hili jukwaa ni huru. Hoja ni hii, wakazi ndani ya mtaa wa Viziwa ziwa (VIMISA) Kibaha mjini...
  13. Rweye

    Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!

    Afadhari umeliweka sawa mkuu maana Imani yangu ilikuwa inanikumbusha jamaa ni Mrumi haswa
  14. Rweye

    Mkandarasi wa SGR athibitisha kuishiwa Fedha, anahitaji zaidi ya Tsh. Trilioni 4.5

    Nchi ya hovyo sana hii, anyway aliyekuwa master wa hili ashakufa na alikufa na maono yake maana kwa CCM kila raisi ana maono yake na si serikali. Na ndo maana hata ukifika pale stand ya mabilioni ya Magufuli toka JPM kafa hakuna kilichoendelea ujenzi ulisimama siku ile, kwa ndani kuna baadhi ya...
  15. Rweye

    Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!

    Mpango ni catholic aliyepita seminari kama si Itaga basi ni Kipalapala mkoa wa Tabora
  16. Rweye

    Ufukwe wa Coco Beach Umeuzwa?

    Mlipoambiwa kazi iendeleee mkaitikia kwa sauti ya juu sana ..mliuliza ni kazi zipi na ni kwanini sasa ziendelee na zilisimama lini? Majibu ya hayo maswali kaeni nayo hivyo hivyo ..sie huku tunasema "KAZI ISIMAME" 😁😆😆😆😆😆🤣🤣🤣
  17. Rweye

    Kwa mara ya kwanza nimefika Dodoma. Hayati Magufuli ni mbeba maono

    Wewe kweli poyoyo, yaani gharama ndo zikupe taabu usifanye mambo ya thamani na msingi hapa duniani? Ingekuwa ni watu kukwepa gharama kuna vitu hata vidogo tu vya kawaida wasingedhubutu mfano wa elimu ndo maana wanasema ukiona elimu gharama basi jaribu ujinga. Ukiona kujenga miji ni gharama...
  18. Rweye

    Je, ni nyaraka zipi ambazo kitengo cha usalama wamezuia zisitoke kwenye tovuti ya kitabu cha maisha ya Dr. Salim Ahmed Salim?

    Hivi hakuna namna hii remote nayo inaweza kuzimishwa leo ama? Yaani ni kweli tumeamua kuishi na tai ya muhindi shingoni wakati tayari tushajua hatakiwi kuendelea kuuwa wenzie na viongozi wengine?
  19. Rweye

    Kimbieni ndoa Kwa wasi na ndoa tunakoelekea !!

    Usiite ufuska ndoa chunga sana
  20. Rweye

    Watanzanzia wanajua fika wanaibiwa na hawamtakki raisa Samia ila basi tu

    Huku watu kama wewe wanachukuliwa sana angalia yasikukute mkuu, tuko jehanamu ndogo
Back
Top Bottom