Search results

  1. mtafiti05

    Hivi Serikali haijui kama kuna uhaba watumishi hawa wa afya mpaka iombwe kibali cha dharula?

    Toka upungufu wa watumishi ktk kada mbalimbali kuongezeka baada ya ktolewa kwa report 1 UHAKIKI vyeti fake, je najiulza hv serikali inafkr nn kuzba pengo la watumishi hasa ktk kada nyeti kama afya? Miez 2 sasa imepita toka waondolewe vyeti fake je nafasi zao znazibwa na hewa? Kama zahanati...
  2. mtafiti05

    Waziri wa UHAKIKI, Wizara utumishi, Tamisemi kuweni wazi Acheni siasa mnatuumiza na kututesa sana!

    Habr wakuu! Huyu wazr wa UHAKIKI tangu aanze UHAKIKI mwaka Jana mpaka leo mwaka mzima katoa report 1 tu na ya 2 bado huku akiwa amesimamisha kila kitu kinachohusu watumishi je, Ww huoni kama umekua msanii? Mwaka mzma unahakiki na hutoi report ndo kusema umeagzwa ufanye hilo ili kudelay kutoa...
  3. mtafiti05

    Tunasubri report ya pili ya watumishi wenye vyeti fake, Mwaka mzma haujatosha kuchunguza?

    Hii report ndo imebaki kutolewa, maana zngne zote tayr zmetolewa zilizokuwa zikichunguzwa! Sasa hii mbona kizungumkuti? Waziri husika umejitahd sana kuvuta muda ili kumaliza mwaka kwa zoezi hili kama ulivyoelekezwa, lakn sasa mwaka umeisha Fanya umalizie hiyo report yako hafu usubr tena...
  4. mtafiti05

    Ni kweli wanaopgia simu waliositishiwa Ajira mahakama ni matapeli na sio kutoka mahakama ya Rufaa?

    Hizi taarfa zmemshtua Dogo ambae ni mhanga aliepgiwa simu Mara 3 sasa, April 6, may 15 na may 31 2017, kuwa wanaopgia watu simu waliositishiwa ajira zao June 2016 mahakama kuwa ni watu wapo kazini?(matapeli) na sio simu za mahakama ya Rufaa? Wanauliza maswali yaleyale kutaka kujua Kama wapo...
  5. mtafiti05

    Nina camera aina ya YASHICA original njoo nikuuzie!

    Camera zilizokua maarufu Sana kabla ya digital, zpo 2 nilikua natumia na zpo vzr Sana kwa ambae anahtaj tuwasiliane tuuziane maana sizitumii tena! Bei maelewano tu kwa anaehtaji nicheck 0765-190024 au 0713-193781 Napatikana Tanga(mji wa mahaba).
  6. mtafiti05

    Mahakama: Leo tena wamepigiwa Simu kurudishwa kazni waliositishiwa ajira zao June 2016,

    Kwanza poleni, mwaka Jana tarehe 30.05.2016 waliripoti kazini na June 2016 zilisitishwa ajira zao kupisha zoezi la UHAKIKI watumishi hewa na vyeti fake, Mwezi 4. 2017 walipigiwa Simu kuulizwa kama wapo tayari kurudi kazini wakajibu wapo tayari halafu ikawa kimya tena, leo tena wanapgiwa Simu...
  7. mtafiti05

    Ripoti ya vyeti feki sehemu ya pili inatoka lini?

    Mwezi sasa umepita tangu report ya kwanza ya watumishi wenye vyeti fake ktolewa, watu wamelia, wamehuzunika na watu wengine wakifurahi maana kufa kufaana! Waliofurahi ni ambao hawana ajira na wanahisi ndo muda mwafaka kupata gap maana wana sifa stahiki lakn pia nao hawajanufaika na chochote...
  8. mtafiti05

    Serikali imetangaza ajira 15,000/= kuziba pengo la waliofoji vyeti!

    Kutokana na upungufu watumishi baada kutolewa watumishi wenye vyeti fake takribani watumishi 10,000, wilaya ya kongwe imekumbwa na sakata hilo kwa kubainika watumish 98 ktolewa hvo imesababisha kuwepo kwa upungufu watumishi na kufanya baadhi vituo afya kufungwa kwa kukosa watumishi, Majibu ya...
  9. mtafiti05

    Je, ni sahihi Afisa utumishi kuomba check number ya mtumishi?

    Dogo kapgiwa Simu leo mchana na no. 0002550234678893! Alimpigia akamtambulisha ni Afisa utumishi Mahakama Kuu ya mkoa fulani akimuuliza we ndo fulani? Akasema ndiyo mimi, hivi check no yako ni ipi? Akamjibu mimi sikupata check no.(alisitishiwa ajira June 2016) akiwa hajapata check no. Akaambiwa...
  10. mtafiti05

    TBC1, hii TV haina sifa kuwa TV ya taifa, hovyo kabsa!

    Nipo sehemu nmekarbishwa lakn huyu mwenyej wangu hama kifurush cha Azam, ilobaki ni TBC1 tu, picha zinaganda na kutoktoa sauti, je nn maana, hadhi ya TV hii kuwa ya taifa? Hovyo kabsa bora kusiklza radio!
  11. mtafiti05

    List ya waliofoji vyeti wanawake wanaongoza, maana yake wengi waliwekwa na mabwana zao?

    Mkoa unaoongoza ni Dsm sijui walimuiga Bashite? Sasa imekula kwao na jamaa anapeta mtaan tu, karibuni muwe mchepuko sasa maana hakna namna mkuu ndo kawakatza tena ulaji wenu, hongera sana JPM lazma tuheshimiane awamu hii! Mliofoji vyeti oyeeeeeeeee! Kuwen wapole mrudi shule maana elimu haina mwsho!
  12. mtafiti05

    Mrejesho; wahanga wa Mahakama mliopgiwa Simu kurudi kazini tayari mmereport? Au nn kinaendelea?

    Tarehe 06/04/217 Mdogo wangu alipokea Simu kutoka Mahakama Kuu Dsm ikimuulza kama yupo tayr Kurd kazn akasema yupo tayr, sasa amesubr Simu yakuambiwa lini aende kuriport lakn kimya zinaelekea wiki 3 sasa, Je kuna alie na update au ilikua bust na kiki kuona wanasemaje? Maana dogo alikua...
  13. mtafiti05

    Ajira mpya: Waziri Kairuki kutoa majibu ya hatma ya ajira mpya leo bungeni

    Swali la nyongeza limeulizwa bungeni asubuhi ya leo tarehe 18/04/2017, kuwa baada ya UHAKIKI watumishi hewa na kuwapata takribani 20,000/- ni jambo zuri sana, Lakini mpaka sasa serikali imeondoa watumishi hao hewa na cha ajabu Mpaka sasa ipo kimya kutoa ajira mpya kwa vijana mbali na kuwa na...
  14. mtafiti05

    Roma kupatikana; Tuna aman tena kama watanzania?

    Tulipo ni hatar sana, huku kutekwa na kpatkan kwa watu kwa nifanya nione Tz ni somalia ijayo! Imani inakwisha! Kufikia uchaguz 2020 watu maarufa wengi watapotea na itafkia muda wa wauchaguz mgombea upinzani hatakuwepo! Mungu ibark Tanzania mungu ibark Africa! Amen
  15. mtafiti05

    Walimu wa sayansi na Hisabati mmepangiwa vituo? Machi ilosemwa na Kairuki inaisha au Machi 2018?

    Akiwa bungeni kipind cha maswali na majibu Mh Kairuki alisema March walimu wa sayansi na hisabati wanaajiriwa na kupangiwa vituo, baadae April afya sasa March inaisha kimya ndo kusema matamko tu bila utekelezaji? Hakika nchi inaongozwa kwa kiki! Labda itakuwa March 2018!
  16. mtafiti05

    Ujumbe; siku hazigandi by lady jaydee!

    Huu wimbo nmeuskiliza asbh ya leo naona umejaa ujumbe tupu, 1.hata nisiowategemea leo wametugeuka(magu), 2.Niliowaheshm leo wamenihukumu(awamu5) 3.siku hazigandi(time will tell), 4. HAKUNA aliemsafi msijihesabie haki(Magu), 5.kila mtu ana dhambi( why wengn wajiita watukufu na hawatak...
  17. mtafiti05

    Kero: kila Chanel leo za local zaonesha kikao ccm Dodoma,

    Mambo muhimu kama vile Bunge havioneshwi lakn kikao cha chama tu kila sehemu live, nchi nzima sio ccm bwana wengne hatna chama ni watanzania na sio wafuasi wa siasa, hivyo mwatukera! Samahan kama nawauzi kwa hili,
  18. mtafiti05

    Tathmini: wizara ya utumishi na Elimu zmefanya yapi kuelekea kumalza bajeti 2016/2017?

    Hizi wizara toka awamu hii ya 5 kuingia madarakani viongoz wake wamekalia michakato na matamko tu, 1.Wizara ya utumishi, Mwaka mzma imekalia zoezi la uhakiki watumishi hewa,vyeti nk, je kazi ya wizara hii bajet yake ya fedha inaishia kwenye uhakiki? Haitoi Ajira mpya, haipandsh...
  19. mtafiti05

    Mliositishiwa ajira muende Tamisemi na vielelezo vyenu.

    wote mliositshiwa ajira zenu kupisha zoez la uhakiki kimakosa mwatakiwa kufka ofsi ya Tamisemi kwa msaada wa haraka zaidi, By Simbachawene!
  20. mtafiti05

    Watumishi; alie na mali nyingi/utajiri Mkubwa achunguzwe je watumishi lazma wawe maskini tu?

    Tanzania bwana yataka watu wote tuwe sawa, imekaaje mtumishi mwenye mali/utajiri Mkubwa achunguzwe? Je kumbe watumishi tunatakiwa kuwa namaisha ya kati au chini? Au wote wenye utajiri n ni wauza dawa za kulevya? Matamko na maelekezo kama haya mpaka lini? Mshahara hujaongezwa, makato yameongezeka...
Back
Top Bottom